Kweli walimu hawazeeki, halafu walimu wakike ni wazuri Kwa kuvumilia ndoa kimtindoNyie mshahara wenu ni kuto kuzeeka bac
Kweli walimu hawazeeki, halafu walimu wakike ni wazuri Kwa kuvumilia ndoa kimtindoNyie mshahara wenu ni kuto kuzeeka bac
Nimesikitika sana. Nachukizwa na watu wanaowaandama waalimuYaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....
Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?
Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.
Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴🤭
Au ufike na manyota nyota 😅😅mtaambiwa yote km kuna tukio watageukana ili waonekane wema, sasa uje uwasifie mama weee hata mke anakuachia, akili za kitoto kabisa, wale waliochapwaga hivi si ni walimu? Mtumishi gani wa serikali utamlaza chini umchape??? Tofauti na mwalimu????Alafu wakati mnapiga mkwara yule mwenye kitambi ndo aongee alafu mwenye mwili mdogo ajidai anaandika andika, wawili wanaobaki mmoja anakua anamsikiliza mkuu wa shule kwa makini alafu yule wa nne anachomekea swali moja moja
Wengine hela wanayo tatizo lao hawajiamini,Kiufupi hali za walimu sio nzuri hawa jamaa ni Kama wametengwa sana
MTU akiwa hana kipato cha uhakika dharau na kebehi huwa zinakuwa upande wake Sana.
WaChaTUONEEkitaKChoTOkea???????Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....
Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?
Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.
Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴🤭
Nani tena kakukera future date wangu.Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....
Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?
Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.
Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴🤭
NdioooooHapana hamdharauliwi, ila mmekuwa walaini sana, CCM inawategemea nyie, ila ikipata mnasahaulika, umesahau mwenda zake hakuwaongeza hata mshahara,madaraja mkabaki pale pale lakini pamoja na yote hayo ni nyie wenyewe mkawa mnaimba nyimbo za kumsifu kwenye uchaguzi ni nyie wenyewe huwa mnaguhusika kuiba kura, tunajiuliza imekuaje? Walimu mnaofundisha ujasiri, iweje nyie hamna ujasiri? mnafundisha Haki na kupigania haki iweje haki zenu hamzipiganii? yaani mwalimu pamoja na kusoma kwake na umahiri wake anaweza kuchapwa fimbo na mkuu wa wilaya ambaye ana kadigrii kamoja What went wrong? Mwalimu aliyekuwa anaheshimika mtaani leo haeshimiki tena nini kimewakuta walimu?????? kuna mwalimu alijitahidi kumvimbia mpaka Raisi lakini angalieni walimu mlivyomsema
Aaaaghhh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂.Kinachokulalamisha ni nini sasa, walimu bhana, hamkuagi tu hata muwe na miaka 60, unakuta mtu ana zaidi ya miaka 45-55 lakini anadanganyika na Q-NET, kuna mwalimu kanifundisha mengi, ila aliliwa mil 5 na hao qnet mwaka 2021 😅😅😅ndo nikajua akili za mwalimu hazina akili, na huyo ni mwenyekiti wenu CWT mkoa kilaza namna hiyo! Hao wengine watakuwaje
Kujisimamia? Yaan unamaanisha mwatulelea mpaka wanetu? Mwatusomeshea wanetu? Acheni dharau kwa mtu msiyemsaada nae...tunashindwa nyie mwaweza basi tuacheni....mnacho siye hatuna basi tuacheni....twatumika nyie hamtumike basi tuacheni....why mshughulike na watu wanaowawezesha mjue kitu then wanaendelea na wengine pasipo kuwaumizeni Wala kuwanyang'anya.... Kapeace ishi vizuri na walimwengu Wala hutopungukiwa kitu,kumdharau mtu mwingine Wala hakutokupa ufahari kipenzi👊Hatushindani we si umetaka kujua kwanini mnadharaulika, kuna watumishi wana maisha magumu kama askari magereza? Lakini kwanini hawadharauliki km nyie? Kunifundisha aeiou haizuii kuuona ukilaza mlionao, mikopo kausha damu nyie, kutapeliwa nyie, kujiliza nyie, kama mmeweza kutufundisha mnashindwa nini kujisimamia mkaheshimika kama walimu wa enzi ya nyerere?
Tulitaka tujaribu hadi landcruiser tukapata ila rafiki yetu mwenye kitambi ambae tulitegemea aongoze zoezi alikataa akajidai anabusara kuliko sisiWe jamaa comments zako zinachekeshaga sana ,nimecheka Hadi mbavu zinauma
Mimi niliwahi kuwa mwalimu.Lakini ndiye aliyekufundisha wewe pamoja na kufeli kwake,
Hapana binafsi walimu nawapenda sana nawakubali kinoma hata ndoto yangu ni kuoa mwalimuMnafurahia kunyanyasa wengine,so ndivyo mkuu?