Ukishangaa ya Mussa

Ukishangaa ya Mussa

Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....

Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?

Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.

Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴🤭
Eeeeeeeeelllliiiiiiimu niiiiiiiiiiiii uuuuuuuuuuufffuuuuuuuuuunnnnggggguuuuuuuuooo waaaaaaaaaaa maaaaaaiiiiiiisha

Ssshhhhhkaaaaaaaaa mooooooooooo mwaaaaaaaaaaaalllliiiiiiiiimu😂

kama ulisahau chaki ofisin unaeza enda kufata na kurudi bado vitoto vinakusalimia.
 
Sasa huko kujiendeleza kwenye vitu vya kijinga Kama ndo kunatupa sabuni,siye tufanyaje mama? Yaan najipendekeza sawa,lakini kujipendekeza kwangu hakukunyimi wewe mshahara,kwanini usiniache tu
Kinachokulalamisha ni nini sasa, walimu bhana, hamkuagi tu hata muwe na miaka 60, unakuta mtu ana zaidi ya miaka 45-55 lakini anadanganyika na Q-NET, kuna mwalimu kanifundisha mengi, ila aliliwa mil 5 na hao qnet mwaka 2021 😅😅😅ndo nikajua akili za mwalimu hazina akili, na huyo ni mwenyekiti wenu CWT mkoa kilaza namna hiyo! Hao wengine watakuwaje
 
Oke Oke vizuri,kwahiyo unakubali akili ya kilaza ndiyo iliyokufikisha hapo...au ulisoma na kuandika kwa juhudi zako.
Sawa,yeye katapeliwa kwako ni kilaza je wanaotapeliwa ni walimu tu...au umeandika tu kauli mbaya ili upate likes na kutuumiza...Vizuri ushindi uwe kwako cute😉
 
Eeeeeeeeelllliiiiiiimu niiiiiiiiiiiii uuuuuuuuuuufffuuuuuuuuuunnnnggggguuuuuuuuooo waaaaaaaaaaa maaaaaaiiiiiiisha

Ssshhhhhkaaaaaaaaa mooooooooooo mwaaaaaaaaaaaalllliiiiiiiiimu😂

kama ulisahau chaki ofisin unaeza enda kufata na kurudi bado vitoto vinakusalimia.
🤣🤣🤣🤣 Yaan hii kazi ni balaa🥴
 
Nina rafiki yangu nI mwalimu serikalini jana alikuwa anaenda shule Saa tatu ,nikamwambia mbona umechelewa job hivyo ,akanijibu "kwa kazi ipi haswa ,kazi yenyewe stress tupu Mishahara yenyewe zero" Nawahi nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom