Cc: To yeyeMambo yenu kama wanafunzi hamjiamini hamna misimamo mnapenda kujipendekeza kwa vitu vya kijinga mno,
Mtazamo hasi katika jamii kuhusu waalimu huwafanya wabadilike nikuzidi kuiombea jamii iondokane na huo mtazamoHakika love,nashangaa hawa watoto sijui inakuwaje wakikua wanatubadilikia?
Sasa huko kujiendeleza kwenye vitu vya kijinga Kama ndo kunatupa sabuni,siye tufanyaje mama? Yaan najipendekeza sawa,lakini kujipendekeza kwangu hakukunyimi wewe mshahara,kwanini usiniache tuMambo yenu kama wanafunzi hamjiamini hamna misimamo mnapenda kujipendekeza kwa vitu vya kijinga mno,
Uoga ndo tunao ...Tena Sana😓Kuna jamaa alisema ukitaka kujua walimu ni waoga we tafuta landcruiser hardtop tafuta na marafiki zako wanne mvae suti alafu vamia shule yoyote unaweza kumpiga mkwara mkuu wa shule lisaa lizima bila kukuuliza we ni nani
Nimuite tena? Maana naona kama unahisi anachelewa.Ngoja aje,😓
Hiyo dozi inakutosha kwa leo kunywa kutwa mara 3, utapona.Nimeipata mkuu😔
Majivuno amejipata zaidi ya wew uliyemtoa ujinga hakika dharau lazima zitawale mungu awasamehe waondokane na hicho kiburiShida ni mtanzania akijipata hujisahau Sana,huvimba mno😔
🤣🤣Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....
Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?
Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.
Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴ðŸ¤