Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Watu wengi wanakumbuka walizaliwa lini,lakini ni siku ipi ya wiki?jumatatu,jumanne,jumatano?hapo sio wote wanaokumbuka!ukipenda nifuate.zingatia table hii:january=0,feb=3,mar=3,apr=6,may=1,june=4,july=6,august=2,sept=5,oct=0,nov=3,dec=5. (STEP1);e.g ulizaliwa 23/june/1986. (STEP 2);Namba ya mwezi june ni 4. (STEP3);Tarehe uliyozaliwa ni 23. (STEP4);Chukua namba mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa i.e 86,kisha gawanya kwa 4,chukua jibu kamili ambalo ni 21,achana na desimali au sehemu. (STEP5)Sasa jumlisha hizo namba nne;4 23 86 21=134.
(STEP 6)Gawanya 134 kwa 7=19 baki 1.Hii baki i.e 1 ndiyo inayokutajia siku ya wiki uliyozaliwa!.sunday=0,monday=1,Tuesday=2,wed=3,thurs=4,frid=5,sat=6.Kwa hiyo kama baki ni 1 ulizaliwa JUMATATU.Ooops!kwa wale waliozaliwa mwaka 2000>>,mkifika STEP 5,jibu mtakalopata mtatoa 1 kabla ya kwenda STEP 6.