Ukipenda,fungua usome!

mambo ya mahesabu mimi siyapendi hata kidoga tafadhali n`tafutie fomula nyingine.
 
khaaa mada zingekuwa hizi jf mi hata nisingependa kuisikia, unanifanya ninyong'onyee. Unanikumbusha matokeo ya O-level nilivohangaika usiku na mchana kutafuta ha B mwisho wa siku kitu kinakuja D!!! Sipendi hesabu!
 
Back
Top Bottom