Ukipata kazi serikalini na ukaamua kutokwenda

Fuata moyo acha kusikiliza kelele za watu

Mimi niliacha kazi na nikitaka kurudi narudi



Kuna jamaa tuliajiliwa wote alikua ameacha kazi miaka ya nyuma walimsumbua mwisho wa siku walimpa kazi na analipwa.

Duniani hapa kitu kisichowekena ni mtu asife.vilivyobaki vyote vinawezekana.

Siku mchakato wa ajira mgumu taasisi ikipata mtu haiko radhi impoteze coz hawajui wataajili tena lini na tena wakiajili hawajui kama ataletwa mtu kwao.

Watakupambania.
 
dah kama na feel vile unavyoumia mzeee baba
Daah ndugu yangu we acha tu..

since 2015 nime-graduate First Degree ya Logistics, mpaka wa leo sina A wala B nasugua lami tu mtaani.

Acha tu Mungu mwenyewe atakuja kuamua.
 
Back
Top Bottom