Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

Niki refer na tukio la juzi la Hamza Bado hili swala haliniingii akilini. Wapo watu wanaomtetea Hamza kwa kusema alionewa. 1. What justifies murder kwa kuwa ulionewa? Haya according to the rumors kaonewa na askari wawili. Who will pay for the blood of the other two ambao hawakuhusika. Wengi mna rely kwenye hearsay tu kwamba alidhulumiwa dhahabu sijui nini. Sasa alisema saa ngapi kwamba alidhulumiwa? It means kuna mtu alimwambia either ndugu au rafiki kuwa amedhulumiwa na lazima adhma yake aliionesha wakati anasimulia. Ina maana kati ya hao ndugu au marafiki wapo waliojua tukio ambalo angeenda kulitenda. Kwa sisi ambao tunasikiliza story za mashuhuda wa siku hiyo hakuna mahala alipotaja madini wala kudhulumiwa. Something is not right. Tusi justify mauaji na sababu za kijinga. The kid amekosea apumzike panapo stahili. Done.

NOTHING JUSTIFIES MURDER❌ Na tukisema hapa kila mtu akamalizie stress zake mitaani tutageuka uwanja wa vita. Let’s take good control of our actions.

NB: nimeattach video ambayo nimeiskiliza. Nataka kujua alichokua analalamika hapa kwamba vijana tupo tutapigana. Alikua anaongelea madini yake?
 
NOTHING JUSTIFIES MURDER Na tukisema hapa kila mtu akamalizie stress zake mitaani tutageuka uwanja wa vita. Let’s take good control of our actions.

NB: nimeattach video ambayo nimeiskiliza. Nataka kujua alichokua analalamika hapa kwamba vijana tupo tutapigana. Alikua anaongelea madini yake?
We unataka mtu akidhulumiwa afanye nini? Shedeshi
 
Unauliza swali la kijinga namna hiyo kwa sababu hayajakupata wewe.

Kama wewe unapata mishahara na miposho kibao usiyoifanyia kazi, Usifikiri na wengine kama Hamza walikua wanapokea miposho hiyo.

Hamza ni mfano kielelezo tosha cha kukandamizwa kwa haki za walio wengi.
Vyombo vya dola viwatendee haki raia wake vinginevyo kina Hamza wanazaliwa wengi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kama tunataka kuliponya taifa tuwazuie police wetu kubeba bunduki maana wanapokonywa kirahisi mno

Police wabebe smartphone, camera,mikoba midogo ya kubebea hela za kubrashia viatu full stop bunduki waachiwe maJW maana haiwezekani upokonywe bunduki na dogo wa miaka 30
 
Hamza hakuingja mtaani kuua "watu" hovyo. Alienda Salenda darajani, (sio kituoni) kuua polisi wa pale. Hakwenda Msinbazi, wala Central, Jiulze kapishana na polisi wangapi njiani akawaaacha akafuata specifically wale wa pale kibandani...

Hanza angetaka kuua watu hovyo asingesubiri afike salenda... angejisogeza hapo sokoni Kariakoo na ingekuwa historia...

Sasa nyie mapoliishi punguzeni mathread ya malalamiko, tendeni haki ili kina Hamza wengine wasizaliwe....

NB: Unaweza kututhibitishia pasipo shaka hiyo clip uliyobandika ni ya kweli au ndio ile mliyoitengeneza ili mjisafishe?
Kwa hiyo Mkuu waliomdhulumu Hamza walikuwa wako Salendar? Na ndio hao aliowakuta na kuwaua? Unasemaje kuhusu yule mlinzi wa kampuni ya security ambae nae alikuwa? Nae alihusika pia kumdhulumu Hamza? Hivi kweli, haya masoko yote ya dhahabu yaliyowekwa na serikali, ambayo mtu yeyote anaweza kwenda kuuza bila kuuliza, hugo Hamza hakuyajua? Unaweza kutuambia huko Misri alikwenda kusomea kozi gani? Ya professional gani? Hebu tuache kuwatetea watu wanautumia kwa ugaidi.
 
Kama tunataka kuliponya taifa tuwazuie police wetu kubeba bunduki maana wanapokonywa kirahisi mno

Police wabebe smartphone, camera,mikoba midogo ya kubebea hela za kubrashia viatu full stop bunduki waachiwe maJW maana haiwezekani upokonywe bunduki na dogo wa miaka 30
Umeandika kitoto sana dogo wa miaka 20 au 18 anaweza kumpokonya bunduki mwanajeshi yeyote unaemuamini ishu ya bunduki ni timing tuu ukute dogo alienda kama kuuliza kitu harafu kutaamaki wanamimiwa risasi utafanyeje yaani wewe umewaza kama yule askari wa getini alienda kumrushia risasi Hamza na bastola akiwa hana kinga yeyote...
 
Niki refer na tukio la juzi la Hamza Bado hili swala haliniingii akilini. Wapo watu wanaomtetea Hamza kwa kusema alionewa. 1. What justifies murder kwa kuwa ulionewa? Haya according to the rumors kaonewa na askari wawili. Who will pay for the blood of the other two ambao hawakuhusika. Wengi mna rely kwenye hearsay tu kwamba alidhulumiwa dhahabu sijui nini. Sasa alisema saa ngapi kwamba alidhulumiwa? It means kuna mtu alimwambia either ndugu au rafiki kuwa amedhulumiwa na lazima adhma yake aliionesha wakati anasimulia. Ina maana kati ya hao ndugu au marafiki wapo waliojua tukio ambalo angeenda kulitenda. Kwa sisi ambao tunasikiliza story za mashuhuda wa siku hiyo hakuna mahala alipotaja madini wala kudhulumiwa. Something is not right. Tusi justify mauaji na sababu za kijinga. The kid amekosea apumzike panapo stahili. Done.

NOTHING JUSTIFIES MURDER❌ Na tukisema hapa kila mtu akamalizie stress zake mitaani tutageuka uwanja wa vita. Let’s take good control of our actions.

NB: nimeattach video ambayo nimeiskiliza. Nataka kujua alichokua analalamika hapa kwamba vijana tupo tutapigana. Alikua anaongelea madini yake?
Watu wamekosa imani na vyombo vyetu vya kutoa haki
 
Kwanini tusipanzie pia kwani ni halali kumwonea mtu?
 
Wewe mtoa uzi Huwajui vizuri Polisi,hawa jamaa wasikie tu kwa jirani.Sitaki kuongea Sana lkn nakuomba utafute uzi wangu humu unaitwa, "Kituo Cha Polisi Mlangali ni kitovu Cha rushwa". Ukimaliza kusoma Uzi huo utaelewa ninachokisema.Mwaka huu Polisi wamembambikizia mdogo wangu kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia silaha,ila basi Mungu anajua , Hakika nikiona Polisi ana Shida kamwe siwezi kumsaidia hata km anakufa, Acha afe tu.Mimi ni Mkristo lkn kiukweli nawachukia sana Polisi kupita maelezo,hata km nikicheka nao, Nacheka nao kinafiki tu,hawajui yaliyojificha moyoni mwangu.
 
Kwa hiyo Mkuu waliomdhulumu Hamza walikuwa wako Salendar? Na ndio hao aliowakuta na kuwaua? Unasemaje kuhusu yule mlinzi wa kampuni ya security ambae nae alikuwa? Nae alihusika pia kumdhulumu Hamza? Hivi kweli, haya masoko yote ya dhahabu yaliyowekwa na serikali, ambayo mtu yeyote anaweza kwenda kuuza bila kuuliza, hugo Hamza hakuyajua? Unaweza kutuambia huko Misri alikwenda kusomea kozi gani? Ya professional gani? Hebu tuache kuwatetea watu wanautumia kwa ugaidi.
Yawezekana japo sina ushahidi. Yule mlinzi kama ulifuatilia kosa lake lilikuwa kukoki bunduki kutaka kumshambulia Hamza. Kosa lake ni kiherehere cha kuingilia jambo lisilomhusu...

Kuhusu kusomea Misri huwezi kumhukumu kwa tukio hilo. Ni watanzania wangapi wamesoma Misri na hawakufanya haya. Au tuambie Misri kuna chuo cha Ugaidi? Nitajie chuo hicho nami nikutajie Hamza alisoma chuo kipi..
 
Tukiweka mizani sawa bila kumtetea bro Hamza sanamu lake lijengwe ktk ya mji na hawa ndugu zetu polisi ni kwamba hakuna mahusiano mazuri kati ya polisi na raia. Mi nafikiri badala ya kumtafuta mchawi inabidi kwanza kuboresha mahusiano haya maana tusema Hamza alikua ana matatizo mpaka kushambulia polisi, lakini kwanini watu wanashangilia kuuawa polisi na bwn Hamza anaonekana shujaa?
Tunaona Tanzania tuna Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) ie hii inaleta dhana ya jeshi kuwa sehemu ya wananchi wa Tanzania ndio maana tunaona jinsi wanajeshi wanavyo heshimiwa na kupendwa na wananchi hata kuna kundi la vijana wengi wanatamani na kupenda kutumika katika jeshi la wananchi wa Tanzania.
Kwa upande wa polisi Tanzania ni tofauti raia hawaoni kama polisi ni sehemu ya jamii labda kwa sababu ya colonial mentality ya polisi angalau kidogo walivyoleta ila dhana ya polisi jamii lakini ilikufa baada ya kuingia awamu ya 5. Kiujumla wananchi hawana Imani kabisa na polisi kutokana na rushwa, dhuluma,kubambikizia kesi na uonevu mbaya zaidi kuna watuhumiwa wanajeruhiwa au kuuwawa mikononi mwa polisi either ni uzembe au matumizi ya nguvu kupita kiasi, ndio hali tunayoiona sasa wananchi wanafurahi polisi kuuwawa no sympathy for polisi na bado nilitegemea viongozi wa polisi kwa hili la bwana Hamza inatakiwa ndio iwe turning point lakini wao wanaongeza chumvi kwenye kidonda kwa kauli zao ie kauli ya IGP
Mimi nafikiri nafasi bado ipo kuponyesha majeraha kati ya polisi na raia.kwanza kufanya reform ya muundo,sera,sheria na mifumo ya kipolisi kulifanya la kisasa zaidi kiutendaji ili kuondokana na mfumo wa kikoloni walioridhi baada ya uhuru tuwe na polisi lenye mlengo wa huduma zaidi kwa raia masuala ya kijeshi yabaki JW na JKT. Kuboresha mifumo ya mahusiano ya jamii kwa kuongeza mawasiliano ya mojakwamoja kati ya raia na idara mbalimbali za kipolisi nk
 
Kiroho imekaaje hii.."ukiishi kwa upanga"...inamaana waliofariki waliwahi kuua au wazaz wao waliwah kuua?...naona amani imeanza kupungua
 
Kwa hiyo Mkuu waliomdhulumu Hamza walikuwa wako Salendar? Na ndio hao aliowakuta na kuwaua? Unasemaje kuhusu yule mlinzi wa kampuni ya security ambae nae alikuwa? Nae alihusika pia kumdhulumu Hamza? Hivi kweli, haya masoko yote ya dhahabu yaliyowekwa na serikali, ambayo mtu yeyote anaweza kwenda kuuza bila kuuliza, hugo Hamza hakuyajua? Unaweza kutuambia huko Misri alikwenda kusomea kozi gani? Ya professional gani? Hebu tuache kuwatetea watu wanautumia kwa ugaidi.
Nimewawekea hadi clip ya hamza. It’s beyond rumours watu wametengeneza story chap ili kufukia adhma ya hamza. He is a killer. Fullstop
 
Back
Top Bottom