Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Dawa ile ile ya kule kwenye kikao chetu.Unaachwa nawe unaacha nje ntiti ndani ntitii.
Oohh so you mean that women are the ones who should tolerate men's imperfections but men should not tolerate women's imperfections isn't it?The main reason is that first of all you have to understand that there is anyone is perfect to 100% rate.
The second one in real love there must be tolerance/passion/indurance as we have been instructed from the Bible verses.
When you see there is some imperfections you have to tolerate and forgive your closely relative and still life goes on which is the hardest thing to many women due to their natural creation factors.
"Dunia hii Mama lukumba lukumba, dunia ina mwendo kama wa ngamia" huijui kesho yake hata nawe unaweza kuwa Mama wa watoto wangu, so jijumuishe kunuonea huruma tafadhali Mama [emoji1]Mimi ndiyo niwaonee huruma? Waambieni hao wanawake zenu!
Mbavu zangu miye weee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kariri tu
Naachaje kuusifia ubavu wangu niliopewa na Mungu ili unifanye mi nifurahi Mama [emoji1]Hivi na wewe umeshawahi kuwasifia wanawake humu eti?
Thanks for correcting me Mummy [emoji120][emoji120]For your kind information wanawake tuna XX wanaume mna XY
Women are very cheap to mistaken Men WHILE are very difficult to forgive Men and vise versa is true to Men.Oohh so you mean that women are the ones who should tolerate men's imperfections but men should not tolerate women's imperfections isn't it?
😂😂😂😂😂😂 lazma uwe rijali kisha ndio uwe na pesa..Ndio shina la maisha yenye utamu mpaka Tindini.Ah wanaume wa kibongo mmezidi aisee yaani kwa wanaume wa bongo heshima siyo kutafuta pesa nyingi ila ni kugegeda wanawake wengi! SMH!
Unafanyaje kwenye forums za waafrika siungeenda kwenye forum za wazungu wenye akiliMimi si mwafrika!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazma uwe rijali kisha ndio uwe na pesa..Ndio shina la maisha yenye utamu mpaka Tindini.
Kwani vipi mkuu tunapangiana pa kuchangia mada au?Unafanyaje kwenye forums za waafrika siungeenda kwenye forum za wazungu wenye akili
Hahahahah,,,kwahio unatakaje mama, tuishi maisha ya Eden leo?Weeh Mungu alimpa Adam kila kitu ndipo akampa Evah sasa leo hii wanaume mnataka kuanza kumiliki wanawake kabla ya kumiliki mali na ndiyo maana mnafeli
Kwa hio unamainisha asipige Cruise missiles!Mwanamke akiwa ananivulia pichu angalau Mara 4 kwa wiki na mizinga ikawa sio ya mwendo kasi tutadumu angalau
Huwez kaa kwenye kundi unaloliita LA wapumbavuKwani vipi mkuu tunapangiana pa kuchangia mada au?
Watu wengi waliofanikiwa wameanza pamoja kutafuta, ASA wanawake wa Leo mnataka kukuta mwanaume tayar ana Mali ndo maana mnaishia kuwa michepukoWeeh Mungu alimpa Adam kila kitu ndipo akampa Evah sasa leo hii wanaume mnataka kuanza kumiliki wanawake kabla ya kumiliki mali na ndiyo maana mnafeli