Ukiona Picha hii, Utajua CCM wako Usingizini waondoke

Ukiona Picha hii, Utajua CCM wako Usingizini waondoke

Wanao lalamika mmetoa mchango gani wa kuliendeleza taifa lenu au hayo malalamiko ndo mchango tosha.

Tulisomeshwa urubani kwa pesa za serikali tumeishia kuendesha ndege za 'kunguru' na nyungo za walozi. Huo ndo mchango wetu.
 
Tulisomeshwa urubani kwa pesa za serikali tumeishia kuendesha ndege za 'kunguru' na nyungo za walozi. Huo ndo mchango wetu.

Pole sana, kuna watu hawalitambui hilo. Wako tayari kulipa milioni 50 kwa show moja kwa mtu lakini sio kukujali wewe
 
ni aibu kuwa na mtanzania asiyejua mchango wake katika maendeleo ya nchi yake. hujui kuwa kila unachonunua unalipa kodi serikalini ambayo ndiyo inayotakiwa itumike kuleta maendeleo? au ulitaka iitishwe harambee xa kununua ndege? 1.ELIMU
2.ELIMU
3.ELIMU.

Hata CCM inapenda kuwaaminisha watu kuwa inayofanya ni hisani.
 
Hebu oneni hata barabara.
ImageUploadedByJamiiForums1444285296.037921.jpg
 
Itakuwa ni aibu kama CCM itachaguliwa kuliongoza taifa
 
Itakuwa ni aibu kama CCM itachaguliwa kuliongoza taifa

Sio aibu tuu bali hata jirani zetu watatushangaa kuwa jee tunadhamira kweli ya maendeleo? Na mara nyingi watu hawapendi kushirikiana na wengine wasiokuwa na vision ya maendeleo, hivyo wanaweza kututenga kimya kimya.
 
Nikikutana na jama wa Nchi nyingine hasa kenya na nchi za magharibi, napatwa na hasira na kuichukia ccm, kwa nguvu zote kwani lazima waongelee kuunganisha ndege kwa shida na bei ghali kuja Tanzania wakati kenya, af.kusini ni rahisi na huduma nzuri, huwa nanyamaza lakini lazima waniulize ni kwa nini Tanzania haina ndege, na bei ni kubwa na huwa mnafaidiki na nini kupitia hizi ndege zinazotoza bei kubwa? unafikiri ni kwanini Tanzania isiwe na ndege zake na inazihitaji sana kwa ajili ya utalii na nchi zingine zingeweza kuunganisha safari zao hapo kutokana na jografia yo Tanzania? Inauzi sana.
 
Inasikitisha kuwa na watu kama nyie kwenye taifa linalohitaji Maendeleo.
Mchango wa kila RAIA wa kawaida ni kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi zote stahili. Kisha chama kilichounda serikali kinaisimamia ifanye inayopaswa kufanya. Ajabu tuliyoiona ni ile ya Kinana kugeuka naye mlalamishi juu ya utendaji mbovu.
Wana haki ya kuondoka sasa.

Kinachosikitisha wengi wa wanaolalamika sio kama hao unaosema eti wafanye kazi kwa bidii na kulipa kodi. Wengi wezi,wavivu na si walipa kodi. Hayo mashirika yamejaa watanzania,maofisi yamejaa watanzainia tena wamo humu wanalalamika ila huko makazini ni uozo mtupu!

Labda mtuambie nyinyi mnaolalamika mpo taasisi gani hapa nchini ya kuigwa??!! Labda kwa wahindi mnanyooshwa.
 
Hivi mfumo wa kulipa kodi unawekwa na mlipa kodi mwenyewe?
 
Jambo kubwa ambalo hawafanyi nalo mchezo ni uchapishaji wa tisheti, kofia, mashati, bendera na kulipa wasanii. Hili huwa halina mjadala wa bei, hufanyika kwa wakati, kwa umaridadi mkubwa, na tena kwa gharama yoyote.

Nawala hutasikia wapo mbioni wala upembuzi mkakati kama wanavyo Fanya bungeni mahodari kuwekeza kwenye mambo ya kipumbavu
 
Wanao lalamika mmetoa mchango gani wa kuliendeleza taifa lenu au hayo malalamiko ndo mchango tosha.

Kinana analalamika , Kikwete analalamika Magufuli analalamika wao wametoa mchngo gani?

Tumewapa jukumu la kukusanya michngo yetu (Kodi) Wamefanyanini na kodi yetu? Ndicho tunacholalamika.
 
Wanao lalamika mmetoa mchango gani wa kuliendeleza taifa lenu au hayo malalamiko ndo mchango tosha.

Mchango mkuu tunaotoa kwa taifa hili ni kupitia kodi zetu, kwa maana ya VAT, excise duty na PAYE. Huu ndio wajibu wetu kwa taifa letu pendwa! Swali jingine?
 
Ati wanaolalamika. Wewe usiye lalamika unatoka Msumbiji au ndo umeshadungwa sindano ya siisiieeem mbele kwa mbele?? Ama kweli, sikio likishakufa. Unathubutu kujifanya kipofu kutoona maajabu hayo?? Mbona yapo wazi kabisa?? Mlikuta ATC mkaibadili na kuiita sijui nini sijui nini. Mkaanzisha safari mpaka London, leo hakuna hata darisalama mpaka chalinze mzee!! Na unasema wanaolalamika!! Acha tuu nilalale. Ati 'mmetoa mchango gani' nachukiaaaa. Hao waliofanikiwa walitoa michango gani?? Kila kitu ni kubugia tuuuu yaani ccm wangepewa ngombe wa maziwa wasingali kamua wangekata ziwa wawapelekee wake zao wafiche kwenye frdge wakidhani wangeendelea kupata maziwa

Nimekuelewa sana mkuu
 
Wanao lalamika mmetoa mchango gani wa kuliendeleza taifa lenu au hayo malalamiko ndo mchango tosha.

Kinana analalamika , Kikwete analalamika Magufuli analalamika wao wametoa mchngo gani?

Tumewapa jukumu la kukusanya michngo yetu (Kodi) Wamefanyanini na kodi yetu? Ndicho tunacholalamikia.
 
Hivi kwanini nyie ma ccm uwa hamkubali kwamba mmeinajisi hii nchi? Leo wenzetu wana ndege mnaulizwa tumeshindwa nini eti ooh wenzetu wanati ruzuku, tulikuwa na ndege mnapeana kazi kwa mazoea sio ujuzi matokeo yake mnawapa watu misheni za wizi, mkiambiwa tutengeneze katiba mpya mpya itakayo wekea fence maliasili zetu hamtaki mnataka kuunda mahakama ili watu waibe muwapeleke mahakamani mkose ushahidi wshinde kesi tulipe fidia, nyie watu wa ajabu sana na kama sio huo tunaoambiwa ukwapuaji wa kura mnaojivunia, kwa muda huu tungekuwa tunashangilia ushindi.
 
Wanao lalamika mmetoa mchango gani wa kuliendeleza taifa lenu au hayo malalamiko ndo mchango tosha.

Kinana analalamika , Kikwete analalamika Magufuli analalamika wao wametoa mchango gani?

Tumewapa jukumu la kukusanya michngo yetu (Kodi) Wamefanyanini na kodi yetu? Ndicho tunacholalamikia.
 
Ukiwekwa na yeyote,kama wewe SI MLIPA kodi huwezi kulipa.

Ninavyofahamu kulipa kodi ni wajibu wa kisheria hivyo akwepaye yapo mambo yanaoaswa kufanywa juu yake.
Nenda nchi zilizoendelea, ukikwepa kodi hata uwe na mamlaka kiasi gani utashukiwa kama mwewe na kulijutia kosa hilo. Kwa nini isiwe hivyo hapa? Nini wajibu wa serikali katika hilo?
 
Wakuu picha hii imenifikirisha na kujiuliza hii serikali ya ccm inao watu wanaofikiri au ni ngumbaru watupu? Kwanini majirani wote watupite kama vile ni masikini sana wakati sie ndio tuna rasilimali nyingi kuliko wao?

Watawala wetu (aka ccm)wao ni siasa uchwara tu, mipango na ubunifu ulishawaishia wamebakiza UFISADI
 
Ninavyofahamu kulipa kodi ni wajibu wa kisheria hivyo akwepaye yapo mambo yanaoaswa kufanywa juu yake.
Nenda nchi zilizoendelea, ukikwepa kodi hata uwe na mamlaka kiasi gani utashukiwa kama mwewe na kulijutia kosa hilo. Kwa nini isiwe hivyo hapa? Nini wajibu wa serikali katika hilo?

Wapi nimezungumzia kukwepa kodi??!!
 
Back
Top Bottom