Ukiona Picha hii, Utajua CCM wako Usingizini waondoke

Nadhani sintakosea nikisema m jinga ni wewe, sio lazima kuanzia have kitu kwa sababu ya kutafuta sifa au jina, katika hizo picha ulizoziweka hapo juu, nadhani hakuna Shiraka linalo ingiza faida kwa kazi zao, ila pengine Kenya Airways ambalo ni Shiraka lilo na ubia na mojawapo ya mashirika makubwa ya ndege ulimwenguni. The rest are subsidized by their governments, now what 8s the point in establishing an Airline which you will end up subsidizing it to stay afloat. We could use the money of establishing an Airline in Generating mote power so that we can increase productions in manufacturing and small scale industries.

Has your government done that?
 
Mwaka huu tunahitaji mabadiliko ili tuweze kutoka kwenye kuwa na shirika la ndege linalo suasua na kuwa na ndege nyingi za uhakika
 
Nadhani sintakosea nikisema m jinga ni wewe, sio lazima kuanzia have kitu kwa sababu ya kutafuta sifa au jina, katika hizo picha ulizoziweka hapo juu, nadhani hakuna Shiraka linalo ingiza faida kwa kazi zao, ila pengine Kenya Airways ambalo ni Shiraka lilo na ubia na mojawapo ya mashirika makubwa ya ndege ulimwenguni. The rest are subsidized by their governments, now what 8s the point in establishing an Airline which you will end up subsidizing it to stay afloat. We could use the money of establishing an Airline in Generating mote power so that we can increase productions in manufacturing and small scale industries.

Sasa hapa ndio umeandika upumbavu gani wewe zezeta la ccm ni bora ukae kimya tz ya sasa sio ya kutoa cheap politics kama hizi
VIVA UKAWA!!
 
It doesn't make sense, watupishe tuwaonyeshe how we can do it.
 
Nadhani sintakosea nikisema m jinga ni wewe, sio lazima kuanzia have kitu kwa sababu ya kutafuta sifa au jina, katika hizo picha ulizoziweka hapo juu, nadhani hakuna Shiraka linalo ingiza faida kwa kazi zao, ila pengine Kenya Airways ambalo ni Shiraka lilo na ubia na mojawapo ya mashirika makubwa ya ndege ulimwenguni. The rest are subsidized by their governments, now what 8s the point in establishing an Airline which you will end up subsidizing it to stay afloat. We could use the money of establishing an Airline in Generating mote power so that we can increase productions in manufacturing and small scale industries.

CCM ndio imewaganya muwe wapumbavu na malofa na inafurahia kwa kufanikiwa kwake kuwafanya muwe ni watu msiofikiri. Umeandika ujinga mtupu
 
Mchango wetu ni kuliondoa joka la unyonyaji joka linaloifirisi nchi yetu joka hilo ni Ccm

Nafikiri hiyo ndio iwe target yetu sote . inaleta mshangao kuona Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu anashabikia hali hii na ndio maana hata umeme hakuna wao hawahoji huku wanadanganywa eti nchi itakuwa ya viwanda.
Hivyo viwanda vitaendeshwa kwa kuni?
 
Nadhani sintakosea nikisema m jinga ni wewe, sio lazima kuanzia have kitu kwa sababu ya kutafuta sifa au jina, katika hizo picha ulizoziweka hapo juu, nadhani hakuna Shiraka linalo ingiza faida kwa kazi zao, ila pengine Kenya Airways ambalo ni Shiraka lilo na ubia na mojawapo ya mashirika makubwa ya ndege ulimwenguni. The rest are subsidized by their governments, now what 8s the point in establishing an Airline which you will end up subsidizing it to stay afloat. We could use the money of establishing an Airline in Generating mote power so that we can increase productions in manufacturing and small scale industries.

Are you serous? generating more power? NOW we don't have Airline and we don't have enough power for productions.
NOW ITS MORE THAT 50 YRS since independent. Do we still need
CCM? Noooooooooooo.

WE NEED CHANGES, WE NEED DEVELOPMENT
 
Nakubaliana na wazo la kumtafta CONSULTANT WA AKILI kwa ajili ya watanzania. Shida yangu itakuwa kampuni ya kigeni au ya humu humu ndani?

View attachment 293660
 
yaani ukweli Ni kwamba RWANDA wanaweza kupigana tena na tena na tena na tena na Bado wakarudi wakatengeneza UCHUMI wao na BADO WAKATUPITA KAMA CCM ITAKUWA MADARAKANI.
 
Pale Msoga anapotoka mfalme ,mahekalu yake yamezungukwa na nyumba za matope!! Unategemea maendeleo kwa mtawala anayetegemea kuongoza kwa kupiga ramli!! TAFAKARI chukua hatua!!
 
Wanao lalamika mmetoa mchango gani wa kuliendeleza taifa lenu au hayo malalamiko ndo mchango tosha.
Unaambiwa wewe na chama chako mmelala mchango upi tena unataka??? nyie si ndio mliopewa ridhaa ya kuongoza nchi???vinginevyo akili zenu zimefika mwisho hamna jipya,nguo kukuu haifai tena kuvaliwa tupa kule.
 
Wanao lalamika mmetoa mchango gani wa kuliendeleza taifa lenu au hayo malalamiko ndo mchango tosha.

ni aibu kuwa na mtanzania asiyejua mchango wake katika maendeleo ya nchi yake. hujui kuwa kila unachonunua unalipa kodi serikalini ambayo ndiyo inayotakiwa itumike kuleta maendeleo? au ulitaka iitishwe harambee xa kununua ndege? 1.ELIMU
2.ELIMU
3.ELIMU.
 
Rais wa rwanda alisema angekuwa na bandari ya dar es salaam tu nchini mwake kungekuwa kama Dubai ya africa viongoz wetu ni hewa sana! Kodi sijui wanazipeleka wapi
 
Wanao lalamika mmetoa mchango gani wa kuliendeleza taifa lenu au hayo malalamiko ndo mchango tosha.

Kulalamika peke yake ni mchango mkubwa kuliko unavyofikiria. Mtoto hawezi kuongea lakini akilia utamchunguza na kujuwa tatizo ni njaa au homa sembuse mtu mzima anayekueleza mapungufu.
Ni aibu kuimba eti amani ni kichocheo cha maendeleo wakati wenye migogoro wanatupita kwa speed 120km/hr
 
Air tz nimeipenda inatoa huduma nzuri, hata uwe na matatizo likuki mwilini ukitumia itolewayo na air tz unarecover.
 
Back
Top Bottom