Mwamba77
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 279
- 53
Nadhani sintakosea nikisema m jinga ni wewe, sio lazima kuanzia have kitu kwa sababu ya kutafuta sifa au jina, katika hizo picha ulizoziweka hapo juu, nadhani hakuna Shiraka linalo ingiza faida kwa kazi zao, ila pengine Kenya Airways ambalo ni Shiraka lilo na ubia na mojawapo ya mashirika makubwa ya ndege ulimwenguni. The rest are subsidized by their governments, now what 8s the point in establishing an Airline which you will end up subsidizing it to stay afloat. We could use the money of establishing an Airline in Generating mote power so that we can increase productions in manufacturing and small scale industries.
Haya ni mawazo mgando kama ya wataalamu wa ccm.