Ukiona mwanamke anafika Miaka 30 hajaolewa, kuwa nae makini kama unataka kumuoa

Tuwaseme

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Messages
651
Likes
1,102
Points
180
Tuwaseme

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2014
651 1,102 180
Kwa kifupi nina uzoefu wa kiasi fulani kuwa na urafiki wa kimapenzi au urafiki wa kawaida na wanawake waliozidi miaka 30.. Kuna vitu vingi sana najifunza kutoka kwao..

Wengi wao wanafika umri huo bila kuolewa kwa sababu zifuatazo..

Wengi toka wakiwa wadogo ni Viburi.. Wengine wana tabia ya Dharau.. Wengine wanajisikia sana.. Wengine wana mambo mengi, unakua na demu akili yake haitulii napenda mambo makubwa mno kuliko uwezo.. Wengine umalaya.

Kwa tabia hizo lazima mwanamke ufike miaka 30 bila kuolewa. Kama unatabia hizo mwanamke badilika mapema, wanaume tuko makini sana kwenye kuangalia mke wa kuoa. Badilika
 
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
8,849
Likes
4,711
Points
280
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
8,849 4,711 280

Kaa mbali na mwanamke wa hivyo ... yaani miaka 12 tangu mebarehe ... ???? Hatari sana .. ana mengi kakutana nayo!
 
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
8,849
Likes
4,711
Points
280
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
8,849 4,711 280
Umri huo ndio mzuri maana anakuwa amekomaa na unauzoefu na mambo mengi wala hahitaji kitechen party.
Karagabao...
Inabidi muandaane ... muendane kitabia ili inapofika umri flani mwende sawa...
Hilo ni gumegume .. halikunjiki
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
6,190
Likes
9,721
Points
280
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
6,190 9,721 280
Sio kweli mtoa Maada unatupotosha.. Na wenyewe wana haki zote halafu pia NDOA ni BAHATI Inawezekana huko nyuma hakupata WA kumfaa.. Me hizi Maada za kuchambua in general wakati unakuta ni matukio machache tu ndo yamefanya uwachukulie HiVyO.. Watu wanatofautina.. KILA MTU NA mtizamo wake
 
M

MZALENDO NO.1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
279
Likes
92
Points
45
M

MZALENDO NO.1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
279 92 45
Sio kweli mtoa Maada unatupotosha.. Na wenyewe wana haki zote halafu pia NDOA ni BAHATI Inawezekana huko nyuma hakupata WA kumfaa.. Me hizi Maada za kuchambua in general wakati unakuta ni matukio machache tu ndo yamefanya uwachukulie HiVyO.. Watu wanatofautina.. KILA MTU NA mtizamo wake
Kwani Vp. INAONEKANA WEWE NI MMOJA WAO NINI! Mbona imekutouch sana
 
Mayonene

Mayonene

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Messages
1,343
Likes
1,131
Points
280
Mayonene

Mayonene

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2016
1,343 1,131 280
Karagabao...
Inabidi muandaane ... muendane kitabia ili inapofika umri flani mwende sawa...
Hilo ni gumegume .. halikunjiki

Hivyo hivyo mkiwaona muwe mnawaleta kwangu. Nyie muendeleee na vidagaaa.
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
6,190
Likes
9,721
Points
280
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
6,190 9,721 280
Kwani Vp. INAONEKANA WEWE NI MMOJA WAO NINI! Mbona imekutouch sana
Mkuu sio kweli.. Mimi sio mmoja Wao Nimejaribu tu kuweka na mimi mitizamo yangu kwenye hili hasa ukizingatia nishaona mifano mingi ya NDOA washkaji ZANGU wameoa above 30 na wanaishi vizuri tu na wake zao
 
S

SaiGonE

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Messages
427
Likes
74
Points
45
S

SaiGonE

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2015
427 74 45
Ndoa au kuoana kuna mambo mengi sana, kuna kuoana katika umri wa miaka 20 hadi 25 lakini mkaachana katika umri wa 35. Pia kuna kuona katika umri wa 30 hadi 35 mksdumu hadi kifo. Hivyo mwanamke kufikia miaka 30 hajaolewa siyo kwamba ni kiburi, Malaya au dharau zake yawexekana ni kuwa na bahati na wanaume wasio na mwelekeo wa kuoa.
 
gigapixel

gigapixel

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Messages
297
Likes
270
Points
80
gigapixel

gigapixel

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2015
297 270 80
Umri huo ndio mzuri maana anakuwa amekomaa na unauzoefu na mambo mengi wala hahitaji kitechen party.
Nani kakudanganya wewe, kuna mabinti wengi tu under 30 wapo very smart, labda kama ukomavu na uzoefu unaouzungumzia wewe ni wa kutembea na wanaume wengi
 
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
5,138
Likes
6,779
Points
280
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2015
5,138 6,779 280
Ama kwenye dharau hapo ndipo wanapo feli. Utamkuta mwanamke mwembamba kama mifupa ya muuza supu, lakini mdomo umejaa dharau.

Ndukiiiii
 
Forum statistics

Threads 1,275,071
Members 490,894
Posts 30,532,077