Ukiona mwanamke anafika Miaka 30 hajaolewa, kuwa nae makini kama unataka kumuoa

Hivi hizi tafiti mnafanyiaga wapi? Siwaelewi wanaume wa jf always mnakuja na Mada za kuwa discourage wanawake ambao hawako kwenye ndoa kwanini eti mnatusakamia wadogo zetu?
Kwa taarifa yako ndoa haina umri, mtu anaweza kuolewa akiwa na umri wowote ule na asiwe na kasoro
Kila binaadamu ana mipango yake na kujaaliwa Rizki yake kwa wakati wake, unaweza oa kibinti by 20's lakini kikawa na matatizo kuliko Huyo unayemuita gume gume age its just anumber tu UMRI SIO MOYO/ROHO
Lkn kuolewa ukiwa na 30+ lzm tatizo litakuwepo
 
Kwa kifupi nina uzoefu wa kiasi fulani kuwa na urafiki wa kimapenzi au urafiki wa kawaida na wanawake waliozidi miaka 30.. Kuna vitu vingi sana najifunza kutoka kwao..

Wengi wao wanafika umri huo bila kuolewa kwa sababu zifuatazo..

Wengi toka wakiwa wadogo ni Viburi.. Wengine wana tabia ya Dharau.. Wengine wanajisikia sana.. Wengine wana mambo mengi, unakua na demu akili yake haitulii napenda mambo makubwa mno kuliko uwezo.. Wengine umalaya.

Kwa tabia hizo lazima mwanamke ufike miaka 30 bila kuolewa. Kama unatabia hizo mwanamke badilika mapema, wanaume tuko makini sana kwenye kuangalia mke wa kuoa. Badilika
Mkuu 30 umeenda mbali sana.....akifika 28 tu bado bila bila sikushauri uoe hapo....
 
Lkn kuolewa ukiwa na 30+ lzm tatizo litakuwepo
Kwa akili yako na Mawazo yako! We umetumia kanuni gani kugundua hilo tatizo maana nna ndugu zangu wameolewa wakiwa na 35-36 na bado wako vzr tu na familia zao hawana tatizo,
 
Kwa kifupi nina uzoefu wa kiasi fulani kuwa na urafiki wa kimapenzi au urafiki wa kawaida na wanawake waliozidi miaka 30.. Kuna vitu vingi sana najifunza kutoka kwao..

Wengi wao wanafika umri huo bila kuolewa kwa sababu zifuatazo..

Wengi toka wakiwa wadogo ni Viburi.. Wengine wana tabia ya Dharau.. Wengine wanajisikia sana.. Wengine wana mambo mengi, unakua na demu akili yake haitulii napenda mambo makubwa mno kuliko uwezo.. Wengine umalaya.

Kwa tabia hizo lazima mwanamke ufike miaka 30 bila kuolewa. Kama unatabia hizo mwanamke badilika mapema, wanaume tuko makini sana kwenye kuangalia mke wa kuoa. Badilika

This is a blanket statement! Ni kama kusema ukikuta mwanake chini ya miaka 30 ameolewa huyo ni supper. Je, ni kweli kwa uzoefu wako?
 
Tena watukome, muda wa kutafuta hela Havana Kazi kupondea wanawake tu, nilichogundua wanaume wa humu wengi Ni wambea. Sasa kwa mf mm nisipoolewa yeye itamghasi vipi au inamhusu vipi mxiiieee hadi yanaboa.
..Bila shaka utakuwa hujaolewa!!
 
Kwa kifupi nina uzoefu wa kiasi fulani kuwa na urafiki wa kimapenzi au urafiki wa kawaida na wanawake waliozidi miaka 30.. Kuna vitu vingi sana najifunza kutoka kwao..

Wengi wao wanafika umri huo bila kuolewa kwa sababu zifuatazo..

Wengi toka wakiwa wadogo ni Viburi.. Wengine wana tabia ya Dharau.. Wengine wanajisikia sana.. Wengine wana mambo mengi, unakua na demu akili yake haitulii napenda mambo makubwa mno kuliko uwezo.. Wengine umalaya.

Kwa tabia hizo lazima mwanamke ufike miaka 30 bila kuolewa. Kama unatabia hizo mwanamke badilika mapema, wanaume tuko makini sana kwenye kuangalia mke wa kuoa. Badilika
Mkuu umenena aisee
 
acha kuwasema vibaya dada zetu wewe, kwani hakuna wanaume viburi? malaya wanaume hawapo? wataolewa muda wao ukifika.
 
Kwa kifupi nina uzoefu wa kiasi fulani kuwa na urafiki wa kimapenzi au urafiki wa kawaida na wanawake waliozidi miaka 30.. Kuna vitu vingi sana najifunza kutoka kwao..

Wengi wao wanafika umri huo bila kuolewa kwa sababu zifuatazo..

Wengi toka wakiwa wadogo ni Viburi.. Wengine wana tabia ya Dharau.. Wengine wanajisikia sana.. Wengine wana mambo mengi, unakua na demu akili yake haitulii napenda mambo makubwa mno kuliko uwezo.. Wengine umalaya.

Kwa tabia hizo lazima mwanamke ufike miaka 30 bila kuolewa. Kama unatabia hizo mwanamke badilika mapema, wanaume tuko makini sana kwenye kuangalia mke wa kuoa. Badilika

mbona huwasemi wanaume wenzako walio na umri wa miaka 30 na kuendelea tena wanasema hawana mpango wa kuoa .wanachovya kama buyu la asali...
 
hizo ndoa zenyewe basi zingekuwa na maana tusingepumua, mwanaume uko kwenye ndoa kibamia chako dada wa kazi, mabest za mkeo, majirani na mashemej zako wanakajua!! mnawapenda hao anda age vile mnaweza kucheza na akili zao
 
Nawapenda madada wakubwa

Mbona hawana.dharau,na wanajituma kweli kitandan

Pambanen na hali zenu aisee,mm haya nitazif yatafuna

Hawana utoto,
 
Back
Top Bottom