Ukiona mwanamke anafika Miaka 30 hajaolewa, kuwa nae makini kama unataka kumuoa

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
645
1,188
Kwa kifupi nina uzoefu wa kiasi fulani kuwa na urafiki wa kimapenzi au urafiki wa kawaida na wanawake waliozidi miaka 30.. Kuna vitu vingi sana najifunza kutoka kwao..

Wengi wao wanafika umri huo bila kuolewa kwa sababu zifuatazo..

Wengi toka wakiwa wadogo ni Viburi.. Wengine wana tabia ya Dharau.. Wengine wanajisikia sana.. Wengine wana mambo mengi, unakua na demu akili yake haitulii napenda mambo makubwa mno kuliko uwezo.. Wengine umalaya.

Kwa tabia hizo lazima mwanamke ufike miaka 30 bila kuolewa. Kama unatabia hizo mwanamke badilika mapema, wanaume tuko makini sana kwenye kuangalia mke wa kuoa. Badilika
 
Kaa mbali na mwanamke wa hivyo ... yaani miaka 12 tangu mebarehe ... ???? Hatari sana .. ana mengi kakutana nayo!
 
Sio kweli mtoa Maada unatupotosha.. Na wenyewe wana haki zote halafu pia NDOA ni BAHATI Inawezekana huko nyuma hakupata WA kumfaa.. Me hizi Maada za kuchambua in general wakati unakuta ni matukio machache tu ndo yamefanya uwachukulie HiVyO.. Watu wanatofautina.. KILA MTU NA mtizamo wake
 
Kwani Vp. INAONEKANA WEWE NI MMOJA WAO NINI! Mbona imekutouch sana
 
Karagabao...
Inabidi muandaane ... muendane kitabia ili inapofika umri flani mwende sawa...
Hilo ni gumegume .. halikunjiki

Hivyo hivyo mkiwaona muwe mnawaleta kwangu. Nyie muendeleee na vidagaaa.
 
Ndoa au kuoana kuna mambo mengi sana, kuna kuoana katika umri wa miaka 20 hadi 25 lakini mkaachana katika umri wa 35. Pia kuna kuona katika umri wa 30 hadi 35 mksdumu hadi kifo. Hivyo mwanamke kufikia miaka 30 hajaolewa siyo kwamba ni kiburi, Malaya au dharau zake yawexekana ni kuwa na bahati na wanaume wasio na mwelekeo wa kuoa.
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom