Nashauri mshikaji aache kulia na kuhesabu mara ngapi mkewe ka-cheat na badala yake akae chini na atumie mkono wa kulia kuhesabu vidole vya mkono wa kushoto akikumbuka ni mara ngapi yeye mwenyewe ame-cheat. Vidole vitano vya mkono wa kushoto vikiisha ahesabu vya mkono wa kulia vikiisha hajamaliza aende vya miguuuni akiona hesabu inaendelea atabasamu na kumfuata mkewe. Ambusu na kumbwambia maadamu Jesus alisema tusamehe 7 X 70 (ambayo ni 490) basi ajue bado 487. Asipokuwa mwangalifu 487 zitaisha kabla hawajazeeka na itakuwa hasara yake (Mke) mwenyewe.
mhhhhhhh hela ya guest tena...na mauaji ya Bongo mzee? au ahalalishe tu?Mara 3 na bado yupo naye?huyo rafiki wako pimbi kweli.kama ameamua kuendelea naye mwambie awe anamwachia hela ya gesti
Mimi siwezi kuvumilia, yan 3 times ndani ya Master bedroom yangu? Huyo jamaa yako zoba, bila shaka ni mtoto wa mwisho kuzaliwa kwao!
pole sana, mfanyie maombi tu atafunguliwa hajui alitendalo!
huyo demu hana adabu kabisa, nyumbani kwako na mumeo unaleta mwanaume mwingine? hiyo kwangu hapana!!
Achukue maamuzi magumu,aache kulia lia AMPE TALAKA HATA YESU ALIRUHUSU.
Akiendelea kulia lia tu atakufa kwa kihoro au atajinyonga,achana nae,aoe mke mwingine mwenye mapenzi na yeye.
Asiendelee kuendekeza ujinga,wako wanawake wengi.
Hatua alizokuwa anachukua baada ya kufumania? Mara tatu too much, ila siyo kuwa kasahau, bali anaishi na maumivu, na mkewe kishamuona ni mchukua maumivu ndo maana anamuongeza kila yanapopungua. Alie hivo hivo, thawabu yake ni kubwa sana.
Analia nini sasa rijali mzima, anatakiwa awe na maamuzi magumu ili aepukane na hili janga la sivyo baada ya kulia next time atafanya makubwa zaidi hata mauaji then anaenda jela anawaacha wao wanaendelea kustarehe
Wote wawili wana matatizo.. Mwambie aachana nae leo..... Neno linasema, Mwanamke asiachwe, isipokuwa kwa uasherati!!!!! Wengine ukisiia tu, UNAACHANA nae.. Yeye kamkuta bedroom yao.. Khaaaa!!!! Au hana kipato anamtegemea huyo mwanamke kwa kila kitu? Huyo mwanamke nae hana akili.. kwa nini awalete nyumbani? HILO ni bonge la DHARAU!
mwambie bwana matatizo yameumbwa ili tuyakabili sie wajanadhani yuko kama Kikwete...hana amaamuzi magumu huyu...btw nitafikisha ujumbe wenu na asanteni sana wana jf
mwambie bwana matatizo yameumbwa ili tuyakabili sie waja
Kusahau au kujifanya umesahau! Kiukweli huwa sisahau matukio yaliyonitokea ila sipendi kuyapa nafasi ya kuyawazia au kuyafikiria maana kufanya hvyo ni kujikosesha raha.
mh kweli i am speechlessMpe Pole..
Mwambie aendelee kuwa mvumilivu na amkumbushe mkewe awe anatumia kinga ili asilete Ngoma nyumbani...
Ikiwezekana amnunulie kabisa awe anampa kila akitoka, manake hatuna uhakika kama hachezi mechi za nje...
Khaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
bora aisee kama anaendelea tu na mabaya yake hata akiambiwa mra ngapi aangalie ustaarabu, unavu,ilia panapo maslahi ya ndoaNimemwambia tayari...kasema eti atalifanyia kasi na sio kazi...