Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,060
- 18,029
Hapana mkuu! Wabunge wa ccm wapo pale kutetea maslahi yao na ya chama Chao tu! Ndiyo maana waliipinga katiba mpya,na sasa hawataki CAG! Na Cag yupo pale kulinda maslahi ya wananchi dhidi ya serikali ambayo wabunge wa ccm ni sehemu yake!Uko sahihi kabisa.
