Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,174
- 10,445
Kichwani hazitoshi. Unaona ufahali gani mtu mmemuita kqenye kamati amekuja mmejadili na baadae unakataa taarifa ya jinsi pesa za wanyonge zinavyotumika.
Unaona heri kugomea na mmejadili nae akakuelewesha neno dhaifu hata hivyo akakuambia pole kwa kuwa nimekupeleka mbali kwa kutoelewana terminology kesho yake unagoma UNAFIKI na u mama mama kabisa.
Sina chama ila ni mzalendo wa kweli