Ukiona Mtu anashabikia Ubabe Wa CAG

Ukiona Mtu anashabikia Ubabe Wa CAG

Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Hukuwahi kukumbukwa na uendawazimu kweli wewe? siamini! siamini! kwa vyovyote una ugonjwa wa akili umeshatafuna vyuzi nyingi huko kichwani! Ungejua kazi za CAG na wajibu wake usingaandika huu uharo!
 
Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Na ukiona mtu anashabikia ubabe wa ndugai
 
Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
Kwan kilicho mfanya aseme bunge ni dhaifu unajua ni nn au unaropoka tu kwa kuwa ushachukua posho yako ya siku
 
Umemsikia Bashiru Ali, kathibitisha wewe ni Kenge usiye weza kufikiria; AMESEMA CCM inamuunga mkono ASSAD, hapo vipi

Wanachama kama nyinyi mnaharibu chama kwa kukionesha na taswira mbaya ya akili zenu ndogo, MBELE KWA MBELE

Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
 
Nilifuatilia CAG alisema nini na alisemaje, wakaguzi au watu wa taaluma ya uhasibu hatushangai na hatufadhaishwi namna neno DHAIFU lilivyotumiwa ma CAG. Ukweli ni kuwa hili jambo limekuzwa sana. Ndio maana watu wengi waonao mbali hata katika CCM wamechagua kuwa kimya.
 
Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Cag aliteuliwa na chadema?
Mlipomteua hamkujua kuwa ni cdm?
Tiss inafanya kazi gani?
Kama ndivyo mteuzi ni cdm,huko ccm anawadanya tu
 
Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
Ukiona hivyo ujuwe udhaifu wa awamu hii au Bunge hili Ni zaidi na labda hapo kabla walikuwa hawaambiwi ukweli
 
Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
Ulitaka alifanyie tathimini ya aina gani!!
Yale anayopendekeza bunge lisipoyafanyia kazi,hayatoshi kuwa tathimini?
Jamani muwe muwe mnafikiria na kutafakari nini cha kukomenti,vinginevyo mnaonekana majuha
 
Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Kwa kauli yako tu Inaonesha wewe ni mtoto wa nje ya Ndoa, Yaani mtu anaekupigania wewe na kodi yako ndio mbaya kwamo, Manyoko wallah! Watu wa dizaini hii ndio wale waliokuwa wanakamata panzi angali wenzao wanasoma darasani....
CAG - Anapigania Haki zetu watanzania wote pasipo kuwa na Chama, Jukumu letu kubwa ni kumuunga mkono kwa pamoja ili serikali ijue kodi zetu sio za kuchezeachezea, Saasa linakuja lijitu kama hili lisolowajua hata wazazi wake wa kweli na kuanza kuongea mapupu humu ndani.....
 
Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
Kaa kimya usiyejua wewe!
 
CAG hana chama ila anawaza kiuanaharakati kama wapinzani
Sasa ndugu uko mzima kweli cag hana chma anatetea masilahi ya watanzania wote,yaani masilahi ya taifa kwa ujumla sasa unatakaje?haki ya mungu watanzania sijui tunalaana gani mimi hata sikuelewi kabisa mtu wewe mimi ccm dam lakini sikuelewi ndugu yangu.
 
Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Tena akili zao wengi zina ualakini, tena wengine wapo serikalini.
 
Ulitaka alifanyie tathimini ya aina gani!!
Yale anayopendekeza bunge lisipoyafanyia kazi,hayatoshi kuwa tathimini?
Jamani muwe muwe mnafikiria na kutafakari nini cha kukomenti,vinginevyo mnaonekana majuha
Nani amempa CAG mamlaka ya kuifanyia tathmini ya utendaji wake jomba..labda tuanzie hapa...Mh Rais ndie aliemuagiza na kumpa majukumu hayo au nani..? Na kama hiyo si moja ya kazi yake..imekuwaje akamua kusema yale??? Nani kamtuma..? Hatuwezi jua labda wajomba zetu huko ulaya alipokwenda
 
Mpumbavu ni wewe iliyeshinda njaa leo,halafu unaleta hasira ya njaa humu kwenu siafu wewe
Kipindi hicho unashinda humu ukiropoka ugoro wako huku akina delicious wakipambania udc
FB_IMG_1556569047634.jpeg
 
Back
Top Bottom