Uzalendo bwana !!!
Ni kama ule usemi alinifundisha mwalimu wangu wa Darasa la saba
E. Msigala Teacher Big !!! popote ulipo mwl. wangu busara zako bado zinaniongoza hasa katika utawala huu wa kudhalimu
Alinifundisha usemi usemao siku zote ukweli na uongo hujitenga huku akitumia ule mfano maarufu wa mafuta na maji huku akufanya kwa vitendo
Musiba kaka yangu
MAKUSUDICALLY kabisaaa umeamua kuuza utu wako kwa kushabikia dhambi zilizo dhahiri mbele ya macho yako
We kweli
MAKUSUDICALLY wa kiwango cha shetani
Tunakuona lakini tunakusikia pia picha, maandishi na rekodi mbalimbali yakiwemo magazeti yako lolzinabaki ujue
Kisaikolojoa hasira huku umeshiba japo vya hovyo woga hutanda ila hasira huku unanjaa woga huondoka na ukatili unachukia nafasi
Kumbukeni kwa mwaka wa 2019/2020 kutakua na baa la njaa hivyo watu watakua na hasira huku wakiwa na njaa
Ukiona mwenzio ananyolewa na wewe tia zako maji
Da uzalendo unataka moyo zana
View attachment 1076189