😂😂😂😂 ila haya maisha hapana, ndio maana sitaki wanaume za watu abadani.
Diha, eti nini? 😂😂😂Kelele za wanandoa bado hatujazisikia vizur ongezen saut
Msije Sema hamjaambiwa
Kuna ubaya Public ikijua kama flani ni mke au mume wa mtu.Kichwa cha mada kizuri; lakini hapo kwenye "kupostiana" umechemka mkuu. Kupostiana ni hobby haiwezi kuwa ya kila mtu.
Kuna ubaya Public ikijua kama flani ni mke au mume wa mtu.
Mr chivundu . We mtu kwenye ukurasa wa insta haukuti picha yake inayoonesha yupo na Mr wake picha zote kabinua matako huyo wahuni si watapitanaye .Hakuna ubaya, lakini public sio mitandao ya kijamii peke yake. Wapo watu hawaitazami vizuri mitandao ya kijamii na hawaitumii.
Mr chivundu . We mtu kwenye ukurasa wa insta haukuti picha yake inayoonesha yupo na Mr wake picha zote kabinua matako huyo wahuni si watapitanaye .
hivi haiwezekani tukaanzisha petition mwamba arudi URAIANI?Ndoa ni uwanja wa vita, usipopigiwa mkeo, utadhulumiwa nyumba. WANAUME TUNUNUE BUNDUKI
KWEKA NDIYO mfano wa kuigwa
Ngoja wataalumu wa sheria watujuzehivi haiwezekani tukaanzisha petition mwamba arudi URAIANI?
😂🤣😅😆😁😄😃😀🙂Mpostiane kwani mmepotea au mmekufa?
Mbona huko kwenye ndoa kugumu sana..!!
Kiusalama si vizuri ,kuna nyakunyaku jazz band wa kutosha.Kichwa cha mada kizuri; lakini hapo kwenye "kupostiana" umechemka mkuu. Kupostiana ni hobby haiwezi kuwa ya kila mtu.
Kiusalama si vizuri ,kuna nyakunyaku jazz band wa kutosha.
Ili isaidie nini?Sio mbaya watu wakijua upo kwenye ndoa halafu sikuhizi watu hawapendi kuvaa pete za ndoa haujiulizi
Hatukatai mna moments ngumu sijui nzuri, je kuna ulazima wa nyinyi kupostiana ikiwa ndoa ni yenu wawili?Ni kugumu kweli lakini nyakati ngumu sio za kila siku, wanandoa wana nyakati za nzuri sana na wanafurahia maisha, halafu kuna moments ngumu.
Niambie wewe uliye single, unapitia nyakati nzuri kila wakati?
Uhuru wa kupost watu wanachojisijiahauna madhara, ni kama wewe kujipost mwenyewe, hakuna madhara kwa yoyote. So wakipost waachwe wajiachie.Hatukatai mna moments ngumu sijui nzuri, je kuna ulazima wa nyinyi kupostiana ikiwa ndoa ni yenu wawili?
Sasa ushasema niko single nazipitia vipi nyakati mbaya za kimahusiano? 😹
Hujajibu swali… je, kuna ulazima wa nyinyi kujipost? Sijasema msipostiane..!!Uhuru wa kupost watu wanachojisijiahauna madhara, ni kama wewe kujipost mwenyewe, hakuna madhara kwa yoyote. So wakipost waachwe wajiachie.
Kama wenye mahusiano wapitia bad moments, iweje singles wasipitie, mnakuwa na moments za upweke, kuna nyakati hadi unaisafiria dudu kisa upweke, can you imagine.
Sijaelewa, kumpost wife au wife kunipost? Au unamaanisha nini?Hujajibu swali… je, kuna ulazima wa nyinyi kujipost? Sijasema msipostiane..!!
Ikiwa wote tunajua nyie ni wanandoa kuna ulazima wa kutuonyesha tena kwa kupostiana?
Wee mzee tuheshimiane 😹
Lini nilikua mpweke na nikaacha mambo ya msingi nikasafiri kufata dyudyu?
Wote kwa pamoja na mkeo, kuna ulazima wa kupostiana ikiwa sote tunajua nyie ni wanandoa?Sijaelewa, kumpost wife au wife kunipost? Au unamaanisha nini?
Kama nimekuelewa, kujipost na kupostiana sio kosa wala sio shida. Aliyepo single nae ajipost anavyojisikia.
Singles wengi ni wapweke wa mahusiano na dyudyu. Tulipo kwenye ndoa tunapitoa changamoto zetu, na nyie mliopo single mnapitia yenu. Hakuna mwenye nafuu wala.
Mkuu hakuna shida watu wakiamua kujiweka mitandaoni, si inawafanya wajisikie furaha, hakuna shida. Nyie kujua kuwa huyu ni wife na tumeweka picha ya pamoja mnaumia?Wote kwa pamoja na mkeo, kuna ulazima wa kupostiana ikiwa sote tunajua nyie ni wanandoa?
Singles wanaoteseka labda ni wale ambao walitoka kwenye ndoa washazoea life la ndoa la kulala chiu..!!
Lakini kwa sisi wengine tunaenjoy asikwambie mtu..!!
Halafu wanandoa nasikia huko ndoani kuna muda mnakaa mwaka hamjapeana.. 😹😹
Nyie mateso yamezidi, yani kitumbua unakiona na hupewi? Unaamua kupiga nyeto dah..!
Unajua maumivu ya njaa halafu chakula unakiona kile na hukili?
Ndiomana nasema hiyo taasisi yenu ngumu..!