Ukioa / ukiolewa usifiche kama upo kwenye ndoa

Ukioa / ukiolewa usifiche kama upo kwenye ndoa

Ukiona mtu kaoa / kaolewa hampost Mr / Mrs ujue bado anatafuta soko. Be proud of your spouse
Haujafikisha miaka ya kumuona mke kama dada/ndugu yako wa toka nitoke!

Ni lini mara yako ya mwisho kumpost dada'ko?

Hizo show off za kupost post mwenza kuonesha kuwa huo ni upendo utaziacha mwenyewe bila kuambiwa na mtu.
 
Wote kwa pamoja na mkeo, kuna ulazima wa kupostiana ikiwa sote tunajua nyie ni wanandoa?

Singles wanaoteseka labda ni wale ambao walitoka kwenye ndoa washazoea life la ndoa la kulala chiu..!!

Lakini kwa sisi wengine tunaenjoy asikwambie mtu..!!

Halafu wanandoa nasikia huko ndoani kuna muda mnakaa mwaka hamjapeana.. 😹😹
Nyie mateso yamezidi, yani kitumbua unakiona na hupewi? Unaamua kupiga nyeto dah..!

Unajua maumivu ya njaa halafu chakula unakiona kile na hukili?
Ndiomana nasema hiyo taasisi yenu ngumu..!
Mkuu, nakupa mfano: kesho nenda dukani, kachague nguo nzuri sana utayoipenda.

Utapoipata, toka nayo kila siku kauka nikuvae bila kuipumzisha hadi itapichakaa na kuchanika.

Na hizi nguo zenu za uturuki takribani 90% ni polyster yaweza kudumu hata miaka5!

Jambo hilo kama utaliweza uniweke wazi ili nishee gharama ya vazi.

Kuna kitu nataka kukwambia.
 
Kuna kitu natakabkukwambia.
Wanandoa mna tu mifano twa kujifariji ili mchepuke..!! 😹

Sasa nguo na ndoa zenu zinaingiliana vipi?

Unataka kuniambia wewe huwezi kuvumilia kulala na mkeo mpaka kifo kiwatenganishe?

Kuna ulazima wa kuchepuka?

Hayo mambo tuachieni tulio single, nyie tumikieni kiapo chenu..!! 😹
 
Mkuu hakuna shida watu wakiamua kujiweka mitandaoni, si inawafanya wajisikie furaha, hakuna shida. Nyie kujua kuwa huyu ni wife na tumeweka picha ya pamoja mnaumia?

Zamani walikuwa wanakuja wageni home tunawapa album waangalie, mbona huulizi kwa nini tuliwapa waangalie. Same as today!
Swali, ni lazima kufanya hivyo?
Mfano wewe mkeo hakupost je, utachukia?

Mambo ya album hizo ni njia za kizamani za kumfanya mgeni apate cha kuzugia huku akisubiri msosi. Lakini kiukweli wageni wengi hawapendi kutazama picha..!!
 
Wanandoa mna tu mifano twa kujifariji ili mchepuke..!! 😹

Sasa nguo na ndoa zenu zinaingiliana vipi?

Unataka kuniambia wewe huwezi kuvumilia kulala na mkeo mpaka kifo kiwatenganishe?

Kuna ulazima wa kuchepuka?

Hayo mambo tuachieni tulio single, nyie tumikieni kiapo chenu..!! 😹
Uliye single hakuna tatizo lolote utalopata kwa kweli, kwa sababu unajichagulia mwenyewe kufuata upepo wa 'desire' yako utavovuma.

Hivyo ndiyo binadamu yeyote anataka, uhuru mwingii.

Sema nini, magonjwa mengi ndiyo yanayokata stimu ukiyafikiria.

Sasa na siye je?

Unahodhi kitu kile kile miaka yote na ukitaka kutoka kusema labda ukipumzishe, kinakasirika na kukudhibiti, unabakia tu gaaah ukitoa toa macho!

Wee acha tu mkuu.
 
Swali, ni lazima kufanya hivyo?
Mfano wewe mkeo hakupost je, utachukia?

Mambo ya album hizo ni njia za kizamani za kumfanya mgeni apate cha kuzugia huku akisubiri msosi. Lakini kiukweli wageni wengi hawapendi kutazama picha..!!
Kwamba cha kuzugia ila jmn😀😀
 
Swali, ni lazima kufanya hivyo?
Mfano wewe mkeo hakupost je, utachukia?

Mambo ya album hizo ni njia za kizamani za kumfanya mgeni apate cha kuzugia huku akisubiri msosi. Lakini kiukweli wageni wengi hawapendi kutazama picha..!!
Ni lazima wewe kujipost mitandaoni? Ukipata jibu la wewe binafsi hata la wanandoa utalipata. Yaani nilazimishe wife anipost, nitakuwa sina akili mkuu.

Wewe hukuwepo zama hizo so huna unalojua. Album zilikuwa muhimu sana.
 
Kupostiana ni utoto wa hali ya juu. Mleta uzi ni wa alfu 2
 
Ni lazima wewe kujipost mitandaoni? Ukipata jibu la wewe binafsi hata la wanandoa utalipata. Yaani nilazimishe wife anipost, nitakuwa sina akili mkuu.

Wewe hukuwepo zama hizo so huna unalojua. Album zilikuwa muhimu sana.
Hilo ndio jibu..Naona ulikua unarukaruka.

Mtoa mada kasema wanandoa kama hampostiani eti bado mko sokoni mnavizia wapenzi wengine..!!

Hapo nilikua nawatetea kwamba si lazima nyie kupostiana.. lakini wewe ukanijia kwa mihemko..!!

Bidhaa ikiwa sold out inatolewa sokoni.

Mimi kujipost mtandaoni najipost lakini sio kumpost mtoto wa mtu..!!

Sasa zamani hizo album zilikuwepo sababu hakukua na mbadala wa kufanya mgeni azugie kusubiria msosi na kusogeza muda..

Mbona sasa hivi hizo album hazitumiki tena?
Kipi kimefanya msiwape album wageni?
 
Kama Mume au mke anatembea na washenga wao wa harusi ambao walishuhudia ndoa ikifungwa na wakasaidia viapo.. halafu unataka kusema nini?🧏‍♀️
Mshenga au washenga ni watu tu, ni wapuuzi na wadhaifu kama binadamu wengine.Mimi kwa mtazamo wangu: Mwanaume yeyotw akitengenezewa mazingira yoyote anaweza kulala na mwanamke yeyote isipokua mtoto wake, dada, ndugu wa karibu na watu kama hao.
MEN ARE WEAK and they like sex- tamaa iko juu, wanaume wanabanwa na mila na desturi, mtazamo wa jamii, macho ya watu, kujiamini..lkn ndani ya kila mwanaume kuna nguvu ya ufuska na tamaa ya ngono ambayo anapambana kuishinda tangu anabalehe
 
Ebu nitafute picha yake kwanza, B z popote ulipo nitumie pic tafadhari 💪
 
Ukiona mtu kaoa / kaolewa hampost Mr / Mrs ujue bado anatafuta soko
Mbona una akili za kitoto sana.
Nyie ndio wale ambao huwa mna post picha za marehemu na kumuandikia maneno mazuri ambayo hujawahi kumwambia akiwa hai.
 
Kama Mume au mke anatembea na washenga wao wa harusi ambao walishuhudia ndoa ikifungwa na wakasaidia viapo.. halafu unataka kusema nini?🧏‍♀️
Wanajaribu kukamilisha fantasy zao za kupigana miti 😂
 
Hatukatai mna moments ngumu sijui nzuri, je kuna ulazima wa nyinyi kupostiana ikiwa ndoa ni yenu wawili?

Sasa ushasema niko single nazipitia vipi nyakati mbaya za kimahusiano? 😹
Mkuu
Nitafute DM Ila Mimi Sifanyi Kama Kweka Maana Sina Mjegeje
Nipo Namwai Sanya Juu
Leo Morogoro Ajali Tupu Mpaka Police Mvomelo Chali
 
Kuna haja gani ya kupostiana?

Hata mpenzi tu achana na mke/mume, sioni haja.
 
Ni kugumu kweli lakini nyakati ngumu sio za kila siku, wanandoa wana nyakati za nzuri sana na wanafurahia maisha, halafu kuna moments ngumu.

Niambie wewe uliye single, unapitia nyakati nzuri kila wakati?
Ni kugumu kweli 🤔
 
Back
Top Bottom