Ukioa / ukiolewa usifiche kama upo kwenye ndoa

Ukioa / ukiolewa usifiche kama upo kwenye ndoa

Mpostiane kwani mmepotea au mmekufa?

Mbona huko kwenye ndoa kugumu sana..!!
Ni kugumu kweli lakini nyakati ngumu sio za kila siku, wanandoa wana nyakati za nzuri sana na wanafurahia maisha, halafu kuna moments ngumu.

Niambie wewe uliye single, unapitia nyakati nzuri kila wakati?
 
IMG-20260826-WA0354.jpg
 
Kama Mume au mke anatembea na washenga wao wa harusi ambao walishuhudia ndoa ikifungwa na wakasaidia viapo.. halafu unataka kusema nini?🧏‍♀️
Wewe unatimiza wajibu wako wa kuutarifu uma wa watu ili siku ukimfumania mtu upate sababu ya kumtwanga panga la begani
 
Kichwa cha mada kizuri; lakini hapo kwenye "kupostiana" umechemka mkuu. Kupostiana ni hobby haiwezi kuwa ya kila mtu.
 
Back
Top Bottom