Nilisafiri kidogo kumuona shangazi yangu huko Comoro
daah nilikuwa na mpango wa kumtafuta rejao kumbe ushamuwai bwana loh ? How is he?nilibahatika kukutana na $rejao, it was cool!
Kama nisipokuwa mtata, wadhani nani atanitaka,Zinduna mbona wewe mtata sana
Mananeo yako bashasha yafaa kwa kikombe cha kahawa na kashata
Zinduna
uliwasalimia comoro...kuwaambia JF tuko doro
twalalia magodoro na kujivika mdororo
Zinduna
Maneno yako matamu...yamenipa hamu
radha tamu..kama asali na si Jamu
wanipa hamu..kutaka kukufahamu
uliwasalimia comoro...kuwaambia JF tuko doro
twalalia magodoro na kujivika mdororo
Weeeeee.....
JF hatupo doro,tunang'aa kama mji wa moro
Kwa sauti nyororo,za wadada waso na vihoro
Unahitaji supu ya kongoro,uchangamke usiwe sharobaro
Tumkaribishe zinduna,Kwa matarumbeta na vicheko.
ahahaaa empty ? how ? sielewi bwanaHe is like $empty kabisa-Si Mchaga yule
ahahaaa mvuto je?Chokest kabisa mu poketi