Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

Basi subiri utayempenda na yeye akupende, atakuja tu. Usipoteze muda, hakupendi.
 
Eti love is blind Dada angu are you 33 kweli?
Aisee sjui kwann hii kitu nimechukulia personal sana lkn mm naudhikaa mnooo na wanawake vinganganizi daah
Embu jithamini at age 33 bado huja jua kua love is a temporary feelings? Unavo zidi kumganda ndo unazidi kumtibua Huyo jamaa embu kua na staha Dada half jiheshimu. Ole wko unichambe wkt nimekupa ushauri
mbona unajihami? ww mwenyewe umemchamba subiri na ww uchambwe kidogo
 
Asante mwaya. Haya ni majaribu ya shetani tu. Anahakikisha mtu hupati furaha... Ila, wazungu wana kausemi kao kanasemaa KARMA'S A BITCH. Sasa hivi huyo girlfriend wake yuko jela ana kesi isiyokuwa na dhamana. Mungu hachelewi kulipa.
Acha kujifariji so unafurahia matatizo ya mwanamke mwenzio kisa we hupendwi? Hupendwi bibi wee
 
Sawa Dada una maamuzi na mwili wako lkn sidhani kama una maamuzi na akili yako? Samahani kwa kauli Kali lkn naomba kuuliza kichwani zipo timam kweli? Hakupendi Huyo mwanaume acha kujitia upofu
Love is Blind. Hayajakukuta wewe ndio maana unabwata tuu. Mi niliapa sitopenda tenaa na nilikuwa nikiwashauri wenzangu wanaoumizwa kuwa waache ujinga wa kupenda kiboya but yamenikuta, tena kwenye umri huu. Subiri yakukute ndio utajua if it's blind au bright. Omba Mungu kwako yawe bright
 
Jikaze utapewa ukimwi na Huyo mtu maarufu. Lol dnt knw why nimekuchamba hvi Dada wa watu hahahaha Ila umeniuzi
 
Kakutongoza na kuomba game on the very same day. Umejirudisha kwake, akakuambia ana girlfriend, bado ukakubali. Kashakula tunda, sasa anakupotezea. Ishara zote hizo ina maana huzioni tu dada??

Take it from a man; desperate women(excuse my patois) are a turn off. You proved desperate ulipojirudisha kwake, baada ya kuweka ngumu mwanzo. You proved more desperate alivyokuambia ana girlfriend, na ukakubali. You're proving the most desperate anavyoku-ignore, na bado unamfata tu.

The fool is rich, and famous as you say. He got babes throwing apple pies at him from all angles. Not to be offensive, but you're one of them to him.
Umenena mkuu huo ndo ukweli japo dada hataki kuelewa,jamaa kashamaliza yake ameendelea na girlfrd wake.
 
Hapo huhitaji kufikiri sana wala kuumiza kichwa, m2 maarufu na mwenye hela kakutana na warembo wangapi bibie na wewe m2 mzima wakati wa2 wa hivyo totoz ndio dili dada, kimbia kama ukoma na mwisho kaangalie kama hajakuunganisha na tanesco ! Then kama uko poa jichunge.
 
Watu wanakuwa na girlfriends but hawaoi hao girlfriends. Hata wengine wanaishi nao miaka na wanaishia kuoa mwingine. Ningejuaje bahati ni yangu au sio kama ningekataa?!
Fisi anatabia ya kumfuatilia mtu porini akiwa na matumaini kuwa mtu anavyorusharusha mikono wakti anatembea kuna uwezekano mkono mmoja ukadondoka kumbe sio kweli ni tamaa yake tu, kwa hiyo na ww endelea kuvizia km fisi ukijua ipo siku atamuacha aliyenaye na kukuchukua ww.
 
Umenena mkuu huo ndo ukweli japo dada hataki kuelewa,jamaa kashamaliza yake ameendelea na girlfrd wake.
I doubt about that.. Girlfriend yuko jela na case isiyo na dhamana. Atakuwa na mwingine
 
Bibie una miaka 33 hujajua tu kuwa huna chako hapo??

Watu maarufu na wenye hela kama mimi profile zao huwa ni kumega tu na kuacha, unapomtamkia tu suala la ndoa kengele inagonga kichwani.

Yawezekana anao kama tisa hivi, na wote wanajisifia kama wewe kuwa walimpa mahaba mpaka akafurahia haswaa.

Kifupi umeshapigwa chini, jiongeze tafuta mahali serious, achana na watu maarufu, watu serious na ndoa huwa ni watu decent ambao nyie wakina dada huwa mnawaona " washamba fulani hivi"

Na huo ndio ukweli mchungu, hutaki unaacha
Ukisikia ukweli mchungu ndio hizi.....
Kakutongoza na kuomba game on the very same day. Umejirudisha kwake, akakuambia ana girlfriend, bado ukakubali. Kashakula tunda, sasa anakupotezea. Ishara zote hizo ina maana huzioni tu dada??

Take it from a man; desperate women(excuse my patois) are a turn off. You proved desperate ulipojirudisha kwake, baada ya kuweka ngumu mwanzo. You proved more desperate alivyokuambia ana girlfriend, na ukakubali. You're proving the most desperate anavyoku-ignore, na bado unamfata tu.

The fool is rich, and famous as you say. He got babes throwing apple pies at him from all angles. Not to be offensive, but you're one of them to him.
 
Jikaze utapewa ukimwi na Huyo mtu maarufu. Lol dnt knw why nimekuchamba hvi Dada wa watu hahahaha Ila umeniuzi
Mdogo wangu leo nakuona huku, bado nanii hajaibuka tena na thread nyingine ya umbea uhamie kule kama siku ile?
 
Huna lolote ni umaarufu wake2 ndo unaokuzuzua...
Kwani huo umaarufu au hela ni vitu vya kudumu vinizingue? Wakijamba inanukia perfume au wakifa hawaozi? Na kwanini unafikiri sikumshobokea siku ya kwanza. Hunijui,sikujui. Hizo ni speculation zako. Mi sifagilii umaaru.
 
Acha kujifariji so unafurahia matatizo ya mwanamke mwenzio kisa we hupendwi? Hupendwi bibi wee
Kama ambavyo ameumiza hisia zangu bila kujali, nami nafurahi sana kuona akilipia kwa kuumizwa na hilo. Sifurahii mwanamke mwenzangu kuwa jela. Nafurahi kwa kuumizwa kwake na hilo. Na mbado!
 
Fisi anatabia ya kumfuatilia mtu porini akiwa na matumaini kuwa mtu anavyorusharusha mikono wakti anatembea kuna uwezekano mkono mmoja ukadondoka kumbe sio kweli ni tamaa yake tu, kwa hiyo na ww endelea kuvizia km fisi ukijua ipo siku atamuacha aliyenaye na kukuchukua ww.
Mie sio fisi... Mi ni binadamu & nna utashi. Natongozwa daily na watu wa nguvu tu... Sema tu kupenda hakuchagui.
 
Mapenzi ni faraja kuu ya binadamu lakini kaa ukijua "mapenzi si ya kila mtu"...Kama hiyo Hali ya kuchuniwa na kupotezewa inakukera/kukuumiza nafsi iepuke
walk away from that man and be free for a while
Tatizo lenu wanawake mnapenda kukurupukia kuingia kwenye mahusiano mapya punde tu mkipigwa chini sijui mnadai kupunguza "stress" kumbe unajikuta unajisajili jarada la "wahanga wa ngono"
Umesema una 33 si ndio...Kama ni kweli basi umri wa kuendeshwa na mtu kisa mapenzi nadhani umeshapita..."mpende mtu kisa unamuhitaji na sio kumuhitaji kisa unampenda"
 
Asante kwa busara zako G. Jacob
 
Back
Top Bottom