1.hamumuelewi wewe na nni? Usitusemee, wengine tunamuelewa, au wewe ni msemaji wa watz? Kama ndio, tangu lini?
2. Acha kihere here, soma magazeti ya leo kama shida yako ni tamko la ikulu
3.rais hafanyi mambo kwa kukurupuka
Hoja ya msingi, umesoma magazeti ya leo kuhusu tamko la ikulu?umerupuka wewe,
Safi sana, mleta mada ni mfano wa wenye akili za kukurupuka kama LissuKashamteua cag mpya professor mwenziwe. Nchi ya maprofessor hii
Wewe unapiga mayowe tu, Bunge lina mamlaka ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais, angekuwa anahusika hakuna aliyekuwa anawazuia.Uelewe! Tatizo si JK; tatizo ni katiba, tatizo ni watanzania! Kashifa hii inamkumba JK mwenyewe lakini nani amguse? Katiba hairuhusu, na hata hiyo iliyopendekezwa na ccm inamwendelezo huo huo na hatujakoma kusikia majigambo ya ubora wa katiba hiyo. Anayo madaraka makubwa ya udikiteta wa kukataa au kukubali mapendekezo ya bunge, atakalo changua ndo hilo...kuwa tayali kupokea maamuzi yake...ila asisurutishwe cha nini afanye.
Unamchagulia rais la kuanza nalo?CIG mpya yuko kwenye mapendekezo ya BUNGE???
Mkuu mbona wengi tumeona au unasoma ya udaku?sijaona tamko lolote kuhusu escraw leo??au unazungumzia magazeti yanchi gani
Mkuu umeandika kwa busara sana.1.hamumuelewi wewe na nni? Usitusemee, wengine tunamuelewa, au wewe ni msemaji wa watz? Kama ndio, tangu lini?
2. Acha kihere here, soma magazeti ya leo kama shida yako ni tamko la ikulu
3.rais hafanyi mambo kwa kukurupuka
1.hamumuelewi wewe na nni? Usitusemee, wengine tunamuelewa, au wewe ni msemaji wa watz? Kama ndio, tangu lini?
2. Acha kihere here, soma magazeti ya leo kama shida yako ni tamko la ikulu
3.rais hafanyi mambo kwa kukurupuka
sijaona tamko lolote kuhusu escraw leo??au unazungumzia magazeti yanchi gani
Ni jambo lakushangaza, kustaajabisha na kuchukiza kwamba Toka alipowasili jumamosi JK hajasema lolote kuhusu kashfa ya escrow zaidi ya ule mzaha aliofanya pale airport.
Hata kutwambia amelichukuliaje swala hili licha ya BUNGE kuthibitisha kuwa pesa ya UMMA imeibwa. Hajalaani, hajashtushwa, hajakasirika, wala kushangazwa (hamna kauli yeyote kutoka IKULU)
Billion 321 zimeibwa na wahuni nchini mwake, leo siku ya tatu toka mapendekezo yamepitishwa lakini JK yuko kimya, kajifungia IKULU. TUKUELEWEJE?
Hata kutoa press release ya kulaani kitendo hiki umeshindwa. Au umeanzisha uchunguzi mpya???hata umeogopa kuhutubia nchi mwanzo wa mwezi
Kwa rais serious na mwenye uchungu na nchi yake Jumatatu angeshatangaza kuwatimua woote waliofanya kadhia hii kwa mujibu wa maadhimio ya BUNGE, hivi bado unajiuliza nini?Hivi ni Kweli hii nchi iko auto pilot?
MH rais hatukuelewi na hueleweki.