Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

Na mzidi kubaki hivyo hivyo kuwa kakata tamaa wakati kila kukicha percentage ya ushindi unaongezeka, hahahha vijana wa WAMA mnachekesha sana
Hiyo percentage ya ushindi inaongezeka wapi na nani anaiongeza? Hivi nyie siku Lowasa akitemwa kama alivyotemwa uwaziri Mkuu mtakimbilia wapi?
 
Kuna ripoti ya Madaktari wanaomtibu ambayo inaonesha kuwa Lowasa hawezi hata kukimbia mita 10

edo%2Bjo1.JPG
 
Mbona JK wako anaanguka anguka kiasi kwamba nyuma yake wanasimama mabouncer wawili na kila aendapo anasindikizwa na ambulance?
Hahahahahaaaaa! Unafikiri miaka 10 ya urais ni kazi ndogo? Na yule boss wenu Slaa aliyeanguka bafuni mpaka sasa kabaki kilema! Na huyu boss wenu mwingine anayefanya mazoezi huku Ambulance ikifuata kwa nyuma!
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    56.2 KB · Views: 178
Hahahahahaaaaa! Unafikiri miaka 10 ya urais ni kazi ndogo? Na yule boss wenu Slaa aliyeanguka bafuni mpaka sasa kabaki kilema! Na huyu boss wenu mwingine anayefanya mazoezi huku Ambulance ikifuata kwa nyuma!
Mbona uwanja wa taifa wakati wa mechi kunakuwa na Ambulance inamaana hao wachezaji wanakuwa wanaumwa wewe mama Elizaboni
 
Mbona uwanja wa taifa wakati wa mechi kunakuwa na Ambulance inamaana hao wachezaji wanakuwa wanaumwa wewe mama Elizaboni
Hahahaha swali zuri sana hata msafara wa mkulu ambulance mbili hazikosekani!! Na hiyo ambulance anayosema ikwapi hapo?
 
Mwambie mumeo Chabruma atuletee uzushi wa lowassa na Apson
Hahahahaha mkuu hili kundi la Membe na Sita wanaongoza kwa kutoa kabang na wakichukua nchi watatuletea ushonga kabisa kamwe watanzania tusikubali ushonga hata kidogo na njia ya kukataa ushoga ni kumkataa Membe na kundi lake wakiongozwa na waziri mkuu wake nyalandu aka nyama ya charles dunken
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaah!! Naye ni dhaifu?

Ni dhaifu sana mkuu....angalia tu mbio za urais bila kubebwa na mama salma hajiwezi sasa huyo naye ni mwanaume, wanaume wanapigana wenyewe, wanajeruliwa na wanakufa wenyewe.....yaani watanzania tunakumbuka kipindi hichi sana kama tukimpa Membe nchi hii, tutakuwa na kiongozi dhaifu dhaifu kuwai kutokea
 
Back
Top Bottom