Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

Ukweli ucio fichika ni kwamba EL anafaa kuwa kiongozi wetu wa nchi. EL anakubalika sana ni wachache tu ndo hawamkubali kutokana na self interest. ukitaka kujua kua hilo ni kweli fanya uchunguzi tu mdogo... '' kila jicho na watanzania walio wengi ni kweke atakapogombea.... pia wanasiasa wenye uchu wa madaraka wanamponda kwa sana.
 
Wote Lowasa na Nchimbi ni wale wale tu. hawana jipya
Wote hawa hakuna Rais hapo ni watu wa kufanya kazi zingine lakini siyo urais tena wasituzoee kabisa atapatikana Rais mzuri tu siyo wezi kama huyu mzee.
 
yes umefikiria mbali sana, there must be something very great behind the scene,,,lets take care on this guy.
 
Andaeni chumba cha kumpepea Lowasa atakapokosa huu urais najua atatokwa na jasho zaidi hata ya mwezi mzima hamtaamini.
 
Silence miens yes.
Anaitwa fisadi- Kimya.
Hawezi kuzunguka uwanja wa taifa ata raundi moja- Kimya.
Afya mgogoro- Kimya.

Nyie jidanganyenyeni tu hivyo hivyo, badala mtafute kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu mumebaki kupiga majungu, afya yake iko imara kabisa
 
Ile kichwa sana. Simple minds za kibongo bongo zilizozoea siasa za mipasho na kukata viuno haziwezi elewa elevated political strategies.

Ila statement yako inajipinga. Unasema yuko kimya ila anatumia nguvi nyingi kupata uraisi.
Hizo nguvu ni zipi wakati mnasema hawezi hata tumia toothpick?
Na mna ushahidi gani wa eti anamwaga mahela kwenye harambee? Mnajua maana ya harambee? Mkisikia Lowassa kakusanya mil 100 kwenye harambee basi waswahili utasikia Lowassa katoa mil 100.

Mimi kwa kweli niko upande wa Lowassa by default maana upande unaompinga unasukumwa na hofu zaidi ya facts.
 
Huko umeenda mbali. Chukulia Lowasa ni Rais wa nchi, huku anatakiwa kimataifa na ndani ya nchi ziara zinamngoja, na kuna hafla kibao za kitaifa. Nadhani tutakuwa na Rais kama Michael Satta wa Zambia

Ni kweli mkuu, unajua kuna watu wanataka kuiingiza hii nchi kwenye hasara isiyo ya lazima! Kwanini tufanye chaguzi kuu mbili ndani ya miaka mitano?
 
Pengine yote yanayosemwa juu yake ameona ni ukweli mtupu, sasa awajibu nini ??
 
Kundi la Membe wamebaki na mchezo wa kugawa m.atako tu kwa wazungu kama juzi nyalandu alivyompa mzungu wa marekani charles Dunken ili wapate ela kwa udi na uvumba
 
Pengine yote yanayosemwa juu yake ameona ni ukweli mtupu, sasa awajibu nini ??

Yote yanayosemwa kwake amegundua ni ujinga na watu wenye majungu kama WAMA et al so hawezi kujishishia kuwajibu watu wanaofikiri kwa kutumia ile kitu nyalandu alitoa kwa mzungu
 
Ukimya wa Lowasa unaashiria kukata tamaa na anaandamwa na maradhi yasiyotibika

Na mzidi kubaki hivyo hivyo kuwa kakata tamaa wakati kila kukicha percentage ya ushindi unaongezeka, hahahha vijana wa WAMA mnachekesha sana
 
Wote Lowasa na Nchimbi ni wale wale tu. hawana jipya

Mkuu achana na lowassa ni moto wa kuotea mbali aisee anawapeleka ile mbaya....hahahaha ila kwa Nchimbi nakuunga mkono hafai kabisa hata kidogo (objectively)
 
Mkuu achana na lowassa ni moto wa kuotea mbali aisee anawapeleka ile mbaya....hahahaha ila kwa Nchimbi nakuunga mkono hafai kabisa hata kidogo (objectively)
Labda kama anakupelekesha wewe unayepumua kwa fadhila zake
 
Huko umeenda mbali. Chukulia Lowasa ni Rais wa nchi, huku anatakiwa kimataifa na ndani ya nchi ziara zinamngoja, na kuna hafla kibao za kitaifa. Nadhani tutakuwa na Rais kama Michael Satta wa Zambia

Mbona JK wako anaanguka anguka kiasi kwamba nyuma yake wanasimama mabouncer wawili na kila aendapo anasindikizwa na ambulance?
 
Back
Top Bottom