Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

Atakuwa na ale jambo la moyoni,sio bure. Akiwa rais ndipo mtajua kuwa EL alikuwa na lake jambo. Rais ni mtu mwenye mamlaka ya juu kuliko ofisi yoyote hapa nchini.
Ukimya mwingine sio mzuri hata kidgo na epuka sana mtu unayemtukana,unakaripia unamuita kila jina baya halfu kakaa kimya. Watch out!
 
Mkuu ukimia ni dawa tosha....nakushauri na wewe jifunze kutunza vitu kifuani mtu yoyote mwenye uwezo wa kuweka vitu kifuani huyo kaiva, ila ukiona mtu analia lia huyo bado sana kama kuna jamaa yangu moja aliyetangaza maadui 11 kuwa watahama nchi kwa tafsiri pana huyo hana kifua hata kidgo na sio ajabu hata mambo yake ya familia anatoa nje, mwanaume jasiri utunza vitu kifuani
 
ni kweli,lakini sio kila ukimya huwa ni dawa,ndio maana kuna sumu ya kuua taratibu,wakati mwingine kukaa kimya ili kuacha tu lengo lako litimie. Maandiko matakatifu yansema,hata mpumbavu akikaa kimya huonekana mwenye busara
 
Ukimya ndio dawa ya kila kitu,...kuna waziri moja (Nyalandu) kapigwa siku mbili tu ya tatu akafunguka kuhusu Aunt Ezekiel sasa lowassa tokea 1995 anapigwa tu na bado yuko imara, kwa kweli tanzania tunataka kiongozi anayeweza kuweka mambo makubwa na madogo katika vifua...
Ocampofour Alisemaje huyo Nyalandu
 
Last edited by a moderator:
Ocampofour Alisemaje huyo Nyalandu

Alisema Aunt Ezekiel kalala nae mara moja tu washington na sio kuanzia tarehe 16 september mpaka 23 september kama ilivyoripotiwa (source...ijumaa wekeenda na mtanzania)...jana pia vipimo vilionyesha kuwa Aunt Ezekiel ana mimba ya mapacha aka twins sasa hili nalo alitolee maelezo
 
Last edited by a moderator:
Duh!! Wenzetu USA yule bosi wa CIA alijiuzulu tu kwa kisa cha mhuni kuingia na kisu eneo la ikulu ila kwetu hiyo nayo itakuwa kama upepo mbaya umempitia Nyalandu na baada ya siku kadhaa watu watasahau hilo
 
Kuna siku niliwaza juu ya Afya ya EL. na kujiuliza "Hivi EL angekuwa chama cha upinzani kama kina Dr. Slaa,Mboe au Lissu si tungekwisha msahau. Mana nikiangalia jinsi Makamanda wanavyopambanaga na polisiccm, na jinsi EL watu wanavyodai kuwa hawezi kukimbia ata mita10 sijui ingekuaje.
ingekuwa hivyo
 
Andaeni chumba cha kumpepea Lowasa atakapokosa huu urais najua atatokwa na jasho zaidi hata ya mwezi mzima hamtaamini.

Mbona wanya mapovu yakhee,
Uko kambi membee nini (aka- WAMA)
maana maccm mmeanza kuchuana mapeemaaa..

Mwenye hekima haongeagi hovyo, Bali mpumbavu ndiye mjishtukiaji na mpayukaji. Only a knowledgable person will understand the meaning of that statement.
 
Sio kila tuhuma unatakiwa kujibu hasa kama ww ni kiongozi maana hizi nyingine ni kelele tu .Ila muda ukifika wa kutakiwa kujibu najua majibu yatapatikana tu .Watu wengi najua wanashangaa kwa nn Mh. hajibu hayo maneno yote yaliyoenea huku na kule bali amekua kimnya tu.Na mara nyingi majibu yake yanatakiwa kwa vitendo tu ndio maana huwezi kujibu kwa maneno itakua kama ngonjera.
Hata watu wengi hawategemei kwamba kiongozi aseme anajua wauza madawa ya kulevya bali nimewakamata baada ya kuwabaini wauzaji wa dawa za kulevya.
 
ccm hakuna aliye msafi wote ni wale wale wachafu hawafai kabisa Lowassa kuwa kimya ni busara na hekima kwamba hana muda wa kujibizana na wapuuzi wenzake kwa sababu wote ni wachafu .
 
Back
Top Bottom