Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

Baada ya Mwakyembe kusoma report ya Richmond pale bungeni baadae Lowasa aliondoka akiwa kimya, na inasemekana alikwenda nyumbani na hakutaka maongezi na yeyote. Keshoyake Edward akatinga bungeni na mkewe ambaye hadi wakati alikuwa anashangaa ukimya wa mzee,ndipo pale bungeni mzee akachukua maamuzi magumu yaliyomshangaza hadi Mwakyembe mwenyewe! Tendo alilofanya Edward lilinikumbusha Ibrahim baba wa imani alivyomchukua Isaka kimyakimya kuelekea ile madhabahu iliyoitwa baadae Jehova Yire!
 
kwa ccm hakuna anaefaa kuwa mgombea urais zaidi ya Luwasa labda kwa upande wa vyama vya upinzani,yeyote atakaegombea zaidi ya Luwasa kwa upande wa ccm lazima wapigwe chini
 
Baada ya Mwakyembe kusoma report ya Richmond pale bungeni baadae Lowasa aliondoka akiwa kimya, na inasemekana alikwenda nyumbani na hakutaka maongezi na yeyote. Keshoyake Edward akatinga bungeni na mkewe ambaye hadi wakati alikuwa anashangaa ukimya wa mzee,ndipo pale bungeni mzee akachukua maamuzi magumu yaliyomshangaza hadi Mwakyembe mwenyewe! Tendo alilofanya Edward lilinikumbusha Ibrahim baba wa imani alivyomchukua Isaka kimyakimya kuelekea ile madhabahu iliyoitwa baadae Jehova Yire!

Lowasa ni NABII. Ametumwa kuja kutukomboa Watanzania
 
Huwa nakaa na kufikiria sana ukimya wa Lowasa katika siasa za Tanzania huwa sipati majibu mpaka leo. Sijwahi kupata majibu ya ukimya wa Lowasa.
Pia,huwa nashindwa kumwelewa Lowasa kutumia nguvu nyingi kiasi hiki kutaka urais wa JMT. Lowasa akiwa Rais wa nchi hii hawezi kuwa Rais wa zaidi hata miaka 5 inawezekana hata mwaka mmoja kwake unatosha ila ana lengo lake alilolikusudia( kwa mtazamo wangu na muda niliokaa kufikiria juu ya ukimya wa EL)
ukimya huu wa EL sio wa bure hata kidogo,ametukanwa,amekashifiwameitwa kila aina ya majina,Fisadi,Richmond nk lakini yeye hajawahi kumtukana,kumkejeli mtu,kusema hadharani nk
tutafakari pamoja, sijwahi kuuelewa ukimya wa EL

just to cite a few quotes about why some people opt to keep mum about what's going on around...enjoy!


Silence is the ultimate weapon of power.
(Charles de Gaulle)


In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends.
(Martin Luther King)


Silence is a source of true strength. (Lao Tzu)


The true genius shudders at incompleteness - and usually prefers silence to saying something which is not everything it should be.
(Edgar Allan Poe)


Silence is the sleep that nourishes wisdom.
(Francis Bacon)


He who does not understand your silence will probably not understand your words.
(Elbert Hubbard)


Silence is only frightening to people who are compulsively verbalizing.
(William S. Burroughs)
 
Siku nyingine usije tena na akili kama za Aunt Ezekiel na Nyalandu humu tafadhali
naona uko bize sana kumtetea huyo kibaka mzoefu. HAUZIKI HATA KWA BEI YA JIONI. tunahitaji mtu muadilifu pale magogoni na sio wezi. Period.
 
lowasa ni jambazi anataka kuja tena kutuuibia anatumika na yule muovu shetani.

WAMA mmeifilisi nchi hii na sasa mmejawa hofu,si ajabu baba yenu anaanza kuhangaika kutueleza eti watanzania tuchague rais kijana mwakani,mtu anayefikiri atamlinda yeye na prince siyo?hatutawapa nafasi ya kulala usingizi kamwe hadi mtubu
 
Sio kila tuhuma unatakiwa kujibu hasa kama ww ni kiongozi maana hizi nyingine ni kelele tu .Ila muda ukifika wa kutakiwa kujibu najua majibu yatapatikana tu .Watu wengi najua wanashangaa kwa nn Mh. hajibu hayo maneno yote yaliyoenea huku na kule bali amekua kimnya tu.Na mara nyingi majibu yake yanatakiwa kwa vitendo tu ndio maana huwezi kujibu kwa maneno itakua kama ngonjera.
Hata watu wengi hawategemei kwamba kiongozi aseme anajua wauza madawa ya kulevya bali nimewakamata baada ya kuwabaini wauzaji wa dawa za kulevya.

EL kimya kwa sababu hana wa kujibizana naye. Kwenye NEC alisimama na kujibu wasisi wa vua gamba mpaka mkuu wa kaya mwenyewe akashangaa. Baadaye mzee mkapa akaingilia kati kumnusuru.
 
Naona mleta mada anafanya analysis ya mwitikio wa huyu mmasai au kivingine anatekenya!!! , kumbe ukimya ni silaha kubwa mno?.
 
Kundi la Membe wamebaki na mchezo wa kugawa m.atako tu kwa wazungu kama juzi nyalandu alivyompa mzungu wa marekani charles Dunken ili wapate ela kwa udi na uvumba

Funguka mkuu kuhusu huyo Charles Dunken,,, kamfanyaje mume wa Faraja Kota?
 
Ukimya ndio dawa ya kila kitu,...kuna waziri moja (Nyalandu) kapigwa siku mbili tu ya tatu akafunguka kuhusu Aunt Ezekiel sasa lowassa tokea 1995 anapigwa tu na bado yuko imara, kwa kweli tanzania tunataka kiongozi anayeweza kuweka mambo makubwa na madogo katika vifua...

Ananyamaza hata bungeni wakati sheria nzuri na mbaya zinapitishwa. Mfano ile ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ambapo mtoto wa maskini aliyesoma shule ya kata ambayo mnaipigia upatu, anapokosa au kupata mkopo kidogo kwa kutofikisha vigezo vilivyowekwa kwa hiyo sheria huku Lowassa akiwa kimya. Atakapo kuwa rais ndipo aagize sheria za aina hiyo zirekebishwe kumbe wakati zinapitishwa yy mdomo aliweka gundi na kusema ndiooo...(hapa hanyamazi) Au atazifuta kwa amri ya yeye kama rais mbao utakuwa udikiteta? Akitokea akapata urais kutokana na rushwa anayotoa na alikuwa akitoa kiasi kuna wapambe ambao kwa sasa hawaoni wala hawasikii, atatokea kuwa rais hatari ambaye hatukuwi kuona! Yetu macho.
 
Huko umeenda mbali. Chukulia Lowasa ni Rais wa nchi, huku anatakiwa kimataifa na ndani ya nchi ziara zinamngoja, na kuna hafla kibao za kitaifa. Nadhani tutakuwa na Rais kama Michael Satta wa Zambia
Mi naona hakuna shida,kinachotakiwa afanye maamuzi mazito hata kutokea kitandani watekelezaji tupo,mbona nchi hii inaenda tu hata bila rais,kikubwa polisi wawe na virungu vingi,mabomu ya kutoa machozi ya kutosha na tuongeze magari ya maji ya kuwasha.
 
Hakuna siri Huyo ndie Kiongozi watanzania hatutaki kiongozi mwenye mane no mengi ya uongo
 
Mtoto acha kupiga mayowe, ngoja waje waone wenyewe.
 
Back
Top Bottom