Kilichotokea kinahitaji uthibitisho gani?
Uharibifu wa mali za watu na miundombinu ulifanywa na vijana wavuta bangi hauonekani??
Alaaniwe roma na mange kijambio kwa kuhamasisha hiki kilichotokea
Tumevunjiwa maduka na kuibiwa,ndugu zetu wamekatwa vidole kisa walikua na wino wa kupiga kura,sasa tunapanda daladala mbezi kwenda city center miundombinu ya mwendokasi imechomwa na wahalifu
Na yule mzee alie kuwa analinda super market hapa mtaani kwetu alie pigwa risasi alikua mhalifu wa aina gani, na yule kijana muuza chips aliye pigwa risasi ya tumbo uhalifu wake ni wa namna gani? Na ni lini imepitishwa adhabu ya mhalifu ni kuuwawa moja kwa moja?