Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Ndo hata mimi nimeshangaa! Halafu mida alikuwa hajaonekana huyu jingalao, kisha Leo anaibuka kusema watu wafanye kazi. Kwani kuna watu wameacha kufanya kazi? Threads kama hizo ndo zinazidisha sintofahamu.
Ni lazima wakanushe ili kupata wakati wa kuendelea kuweka mambo sawa ,hii ni kama itakuwa ni kweli lakini kwa sasa zinabaki kuwa ni tetesi tu.