Watamgawana kama vazi la YesuBashite kaa mkao wa kunyoroshwa
Watamgawana kama vazi la YesuBashite kaa mkao wa kunyoroshwa
Vp Upo sawa mkuu karibu mlima wa motoWatanzania tuendelee kuchapa kazi ....#Hapakazitu.
Hakuna Rais asiechukiwaMimi nilikuwa najua chuma/jiwe hakiwezi pitia changamoto kama hizi, nafikiri kama ikiwa kweli na akifanikiwa kutoka salama itabidi afanye analysis vyote anavyofanya ni vipi vinatengeneza chuki. Maana inaonesha watu wanasubiri mwisho mbaya
Mkuu jiwe na huyo jamaa nani ana roho ya kishetani?Hata Mungu huwa hapendwi na wafuasi wa Shetani!
😊Hata akifa hupewi nchi wewe.hata akifa ni mapenzi ya Mungu .hata wewe utakufa.mwanadamu ameumbiwa kuzaliwa na kufa.Shujaa atakuwa amekufa akiwatetea wanyonge.
Acha hizo mkuu, eti sisi ni watanzania, nyie ndiyo mlikuwa mnajiona watanzania, sasa hivi baada ya status ya jiwe kutoeleweka ndiyo unatujumlishaHata JK alisubiriwa mwisho mbaya. Sisi ni watanzania, usisumbue akili yako.
Acha ujinga wewe, shujaa wa kuharibu uchumi, sema shujaa wako wewe mnyongeHata akifa hupewi nchi wewe.hata akifa ni mapenzi ya Mungu .hata wewe utakufa.mwanadamu ameumbiwa kuzaliwa na kufa.Shujaa atakuwa amekufa akiwatetea wanyonge.
Hakuna Rais asiechukiwa
Kama naniWapo wanaopendwa
Shindwa na ulegee. Utatangulia wewe kabla yake.
Msigwa hajawahi kutuangusha.Eeeeh Mungu tunaomba iwe kama utakavyo, amen
na afe tuHata akifa hupewi nchi wewe.hata akifa ni mapenzi ya Mungu .hata wewe utakufa.mwanadamu ameumbiwa kuzaliwa na kufa.Shujaa atakuwa amekufa akiwatetea wanyonge.
Huenda amelazwa Mirembe hospital!Watanzania tuendelee kuchapa kazi ....#Hapakazitu.
Eeeeh Mungu tunaomba iwe kama utakavyo, amen