Cha ajabu ni kwamba tz ni taifa ambalo limejaa guest houses, tofauti na mataifa jirani kenya na mozambique, na swali langu ni hili hapa, mbona tz guest houses zimejaa kila mji, kijiji na kwingineko, hio ni ishara ya kuwa watz wanapenda kufanya sex sana tena sana, na hii jambo pia inachangia pakubwa kwa kuifanya tz kuwa taifa masikini ajabu licha ya kujariwa kuwa na a lot of natural resources, na pia watu sio wengi ambao wana elimu bora, pia hio huchangia pakubwa, so tiba ni watu wapewe elimu kuhusu hii ugojwa