UKIMWI unavyotafuna vijana

UKIMWI unavyotafuna vijana

Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Mkuu hali inatisha wakati huo huo watu wengi bado wanachukulia masihara
 
Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
We mpumbavu sn, kulikuwa na haja gani kumtaja kibonde? Hufikirii anaweza kuwa na Ndugu na jamaa humu? Wajisikiaje unapomtaja kwenye mada km hii? Kuwa na heshima assume km angekuwa mpendwa wako halafu unakutana na comment km hii? Senziiiiiii
 
Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.

Wewe ndio mkuu wa mabaharia sasa kamati imekaa na kulipitisha jina lako umepita bila kupingwa

Hiyo ni post ya hovyo kuwahi kuisoma hapa jf
 
Usipotaja watu hawaogopi na kuchukua hatua maana wanaona watapata staha. Pia ukitaja ni rahisi watu kukaa mbali na wale walioatajwa na aliyetangulia mbele ya haki. Marehemu Nelson Mandela alioonyesha njia kwa kumtaja mwanawe hadharani.
Acha upuuzi,
 
Msijifiche kwenye ukimwi tu kuna gonjwa wa ukata wafedha huo ndiyo mbaya kuliko ukimwi,hatupati tiba sahihi kwawakati mwafaka wengi tunachelewa kutokanana ukata wa fedha utakaaje na malaria wiki mbili. Pia usiridhishwe na Tiba ya sinza palestina ujichukurie rufaa dispensary mbezi kwa Msuguli kweli hiyo ni rufaa.
Hospital za serikali ukienda unaumwa kichwa wao ni mabingwa wa kupima malaria mpaka tu mpaka wajue ni dengue umekwisha.Sikubaliani kuwa ukimwi unaua watalamu washa sema ukimwimwi una attack kinga magonjwa nyemelezi ndiyo huua ambayo hutibika na kinga ina kuwa boosted,shida ni ku identify hilo gonjwa nyemelezi on time.
 
Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Kwenye ukoo wenu nahisi mna matatizo ya uendawazimu sio bure.
 
We utakua nao afu istoshe unaexperience ya maumivu ya roho

Mi Niliwah Pima majib ya mwanz yakawa tata..... Asee niliwaza vingi sana ktk age ya 25" """"" Ningekufa kwa stress lkn kilichonipa moyo ni mpenz angu baada ya kupima akawa fresh. ......hvo nilkaa 6month nikaenda Pima tena nikawa poaaaaaaàaaaa sitasahau.....moja ya kitu kinachoua kupitia Ukimwi ni Stress Over""
N.B
Ukimwi Upo na Unaua
....siku dawa ikipatikana nitaenda kupima lakini hii yakwenda kupima nikaanza kuishi kwa kubeti mda hapana
 
Kila unapozini au unayemwamini anapozini unaongeza au anakuongezea uwezekano wa kuugua Ukimwi. Tatizo hapa ni uzinzi na uasherati. Ila na sisi ambao hatuna tujue tu kifo hakichagui, si unaongelea kifo kama vile ni Ukimwi tu ndo unaua wakati dakika tano tatu mbili au zaidi hujui ni nini kinakusubiri.
 
Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu

Kutaja majina humu siyo sahihi...nawaomba moderators wakupatie adhabu au wakutoe kabisa humu...it is unethical kutaja magonjwa ya wengine kama wahusika hawajaridhia....
 
Back
Top Bottom