Daah aiseeh inatisha!! Mwenyezi Mungu atusaidie kwa kweliHakuna MTU aliyenifundisha madhara ya ukimwi kama mama yangu.Huwa haniambii maneno aliyosikia Bali mambo aliyoshuhudia
Walizaliwa 13 ila kati yao 9 wamekufa Kwa ukimwi.Kati ya wanne waliobaki tayari Wawili waathirika hivyo wanaishi Kwa matumaini
Huwa ananiambia ukoo wao unaisha Kwa ukimwi .Watoto wa Dada na kaka zake wanaishi Kwa matumaini.
Moja ya vitu ambavyo anauelewa mkubwa navyo basi namba moja ni ukimwi
Kauguza wote 9 waliofariki na anauguza Wawili sasa.
Nikiwa kitandani na mwanamke huwa nakumbuka maneno ya mama.
Niliwah pata demu mbichi ndio kamaliza form 4 kapo vizuri nikaenda nae kumgonga kavu kavu yani kwa american slang tunasema by the skin of my teeth .Tulipovua nguo nikakumbuka maneno ya mama.Nikamwambiaa vaa nguo tukapime ,akakubali.Tukazama Ukonga hospital ya masista tukakuta yeye muathirika ,ila hakuwahi kujua kuwa muathirika.
Now kila analonifundisha mama yangu nalifanyia kazi.
Asante mama.
Kama ulikua hutumii kinga siku za nyuma unatakiwa upime kwanza ndo uendelee kutumia kinganilikua mgumu wa kutumia kinga ila sasa hivi aisee, nmeanza kutumia kwa kuogopa magonjwa sitaki mipango yangu ikwame kisa kudhoofika na maradhi labda uzee panapo majaliwa
Usirahisishe mambo mkuu hizo dawa zinaua sana Figo na ini, pia ni mateso kuishi kwa kunywa dawa kila sikuMimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Yap vinakufa wakati huo wa kuuguza..Ukiuguza mgonjwa wa karibu, nakuapia kila kiungo mwilini kinakufa. Vijana!!
Hivi moderaters wanasoma comments zoteWapumbavu ni moderators ambao comments kama hizi wanaziacha tu. Wakati ilibidi awe kashakula BAN...
Huyo aliyeko handeni nitajie kwa jina aisee maana na mimi niko handeni mjiniAbdallah Kadidi
Rehema Kadidi
Mwantumu Kadidi
Hawa ni ndugu zangu wa kuzaliwa, mmoja kati ya hao niliowataja ni mtoto wa baba mdogo. Wawill wako Tanga mjini, mwingine yuko handeni.
Huyo aliyeko handeni nitajie kwa jina aisee maana na mimi niko handeni mjini
@tindo mi nipo handeni mjini hebu niambie huyo wa handeni ni yupi hapoAbdallah Kadidi
Rehema Kadidi
Mwantumu Kadidi
Hawa ni ndugu zangu wa kuzaliwa, mmoja kati ya hao niliowataja ni mtoto wa baba mdogo. Wawill wako Tanga mjini, mwingine yuko handeni.
Ninyi ndio wauaji kabsa!! Alooh....hehMimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Jaman Nimecheka sanaWewe ndio mkuu wa mabaharia sasa kamati imekaa na kulipitisha jina lako umepita bila kupingwa
Hiyo ni post ya hovyo kuwahi kuisoma hapa jf
Watu kama vichaa.....ni ngono tuu....papuchi tamuunaomba serikali izuie madawa kugawa bure ila wanunue maana walikuwa hawasiikii wakitangaziwa kuna ukimwi na huko kwenye kuzini walikuwa wakitoa pesa na wapili ni mpokeaji na kwenye dawa waanze kulipa iwe fundisho kwa wengine maana ngono imezidi watu wanajisifia kkwenye miziki mapenzi tuuu na michezo ya kuigiza ni mapenzi tuu hawana jambo lingine
Msijifiche kwenye ukimwi tu kuna gonjwa wa ukata wafedha huo ndiyo mbaya kuliko ukimwi,hatupati tiba sahihi kwawakati mwafaka wengi tunachelewa kutokanana ukata wa fedha utakaaje na malaria wiki mbili. Pia usiridhishwe na Tiba ya sinza palestina ujichukurie rufaa dispensary mbezi kwa Msuguli kweli hiyo ni rufaa.
Hospital za serikali ukienda unaumwa kichwa wao ni mabingwa wa kupima malaria mpaka tu mpaka wajue ni dengue umekwisha.Sikubaliani kuwa ukimwi unaua watalamu washa sema ukimwimwi una attack kinga magonjwa nyemelezi ndiyo huua ambayo hutibika na kinga ina kuwa boosted,shida ni ku identify hilo gonjwa nyemelezi on time.
Umechukuliwa kama ugonjwa tu Wa kawaida kabisaLimeshakuwa gonjwa la kawaida tu sasa. Hivyo ndivyo jamii inavyofikiria, which is wrong. Hata kampeni elimisha zimefifia sana.
Wanajidanganya au wewe ndio umedanganywa?Definitely true,tangu nijue ukweli nikiangalai komenti za watu humu nacheka tu jinsi wanavyojidanganya