Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,335
- 6,617
Janjaroo sijui ana hali gani kwa lile goma alilokua amelioa.
Kwani pale taa imewaka?
Janjaroo sijui ana hali gani kwa lile goma alilokua amelioa.
Umetumia criteria zipi kubaini kwamba superstars wengi wameathirika ?
😮😮😮😮Na wewe kuwaita mods wapumbavu sijui kama utaepuka ban
Aaaaaarh 'inasemekana' kitambo tu anakula mashudu,usione mafuta mafuta yale si mchezo.Kwani pale taa imewaka?
Huoni kuna utata katika kitu kinaitwa UKIMWI?Kama mara ya kwanza walisema umenasa na wakati huohuo mpenzi wako yuko safi lkn Baada ya muda nawe ukaambiwa safi?Unaweza enda pima tena ukaambiwa umenasa.We utakua nao afu istoshe unaexperience ya maumivu ya roho
Mi Niliwah Pima majib ya mwanz yakawa tata..... Asee niliwaza vingi sana ktk age ya 25" """"" Ningekufa kwa stress lkn kilichonipa moyo ni mpenz angu baada ya kupima akawa fresh. ......hvo nilkaa 6month nikaenda Pima tena nikawa poaaaaaaàaaaa sitasahau.....moja ya kitu kinachoua kupitia Ukimwi ni Stress Over""
N.B
Ukimwi Upo na Unaua![]()
Mfano akasema John, Rebeca na Hamisi utaamini vipi kama ndio ndugu zake?sawa tunaomba list ya nduguzo, jamaa na marafiki wenye ngwengwe uiweke wazi kutusaidia na kuwasaidia walio maeneo ya jirani nao kuepuka hili.
Aaaaaarh 'inasemekana' kitambo tu anakula mashudu,usione mafuta mafuta yale si mchezo.
Duh mkuu kila kona ni SIASA UCHWARA tu.Ukimwi wala siyo tishio sasa tishio ni nyie mnaoteka watu,kuwatesa,kuwaua na kuwapiga risasi mchana kweupe. Mungu awalaani mfe vifo vya mateso.
Watu wakipitia Uzi wa huyo jamaa wataacha kuongea pumba humu.
Yaan ni kitu cha ajabu sana, mtu akiumwa malaria,sukari,cancer anasema kirahisi tu na watu hawashangai ila ukimwi mgonjwa mwenyewe hataki watu wajue, ifike mahali tuwe wazi nahisi ni njia pekee ya kudhibit huu ugonjwaUmewahi kuona watu wakiona aibu kumtaja mgonjwa wa malaria?
Sio hisani, Hiyo ni Biashara.Hakuna mzungu wa kumpa muafrika kitu cha bure.Kinachofanyika ni kuja contracts zao za kilaghai na mnapewa ARV,CONDOM na NETI.Kumbuka ARV zinatolewa kwa hisani ya watu wa Marekani ambao siku hizi tunawaita mabeberu.
Ukimwi sawa unatisha lakn kuna ugonjwa unaitwa kisukali na kansa,nilikua mgumu wa kutumia kinga ila sasa hivi aisee, nmeanza kutumia kwa kuogopa magonjwa sitaki mipango yangu ikwame kisa kudhoofika na maradhi labda uzee panapo majaliwa
Ni mindset tu as muafrika alizokaririshwa na mzungu ili propaganda za HIV/AIDS zifanye kazi. Tushaaminishwa AIDS ndio ugonjwa Hatari sana na ukiupata basi lazima ufe. Wengi wanakufa mapema sio AIDS, Wanakufa stress. Stress zinaweza kushusha kinga zako za mwili kwa muda mfupi sana.Kwanini mtu akifa kwa ukimwi kutajwa sababu ya kifo chake inakuwa shida wakati magonjwa mengine yanatajwa kama maralia, kansa, tezi nk ukimwi una shida gani?
Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Sio hisani, Hiyo ni Biashara.Hakuna mzungu wa kumpa muafrika kitu cha bure.Kinachofanyika ni kuja contracts zao za kilaghai na mnapewa ARV,CONDOM na NETI.