Sikuambiwa nimenasa elewa vipimo ni vile vya kisasa hospital hawapim mala moja nilikitumia cha kwanza kikapishana na cha pili jamaa akasema sometym vinazinguaHuoni kuna utata katika kitu kinaitwa UKIMWI?Kama mara ya kwanza walisema umenasa na wakati huohuo mpenzi wako yuko safi lkn Baada ya muda nawe ukaambiwa safi?Unaweza enda pima tena ukaambiwa umenasa.
Huu uzi baadhi umewachanganya tyr!Mkuu ni ya Saba au Sita
Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
ulio wataja una undugu nao, umewahi ona vyeti vyao ikithbitika wana UKIMWI ingekuwa vizuri ungetaja nduguzo wenyw ngwengwe ili tukae nao mbali kama kweli una nia.
Hapana, ni muhimu kutaja majina ili hawa wanojiita na kutamba eti ni mabaharia wajue pia siku zao zinahesabika.Kutaja majina humu siyo sahihi...nawaomba moderators wakupatie adhabu au wakutoe kabisa humu...it is unethical kutaja magonjwa ya wengine kama wahusika hawajaridhia....
Hata wewe ni muhanga mtarajiwa kama nilivyo mimi na wengine, shida ya walokole huwa mna hisi hili haliwahusu siku mkipima mmewaka ndo mnaongeza idadi wa wehu mtaani.Naww muanga nn
Amri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi
Unaweza ukadadavua unamaanisha nini mkuu?Ukiusoma uzi huu vizuri utagundua ni kwa kiasi gani watu wetu wako misinformed kwenye issue ya upungufu wa kinga mwilini.
Endelea kupiga kavu matokeo yapo mkononi!Acha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngoma
kitakwimu marelia inaua kuliko ukimwi na hatujaisha, ko mawazo haya yanabaki mawazo ya vijiweni
Kama kiuhalisia huo ukimwi hawauogopi ila wamebaki kuogopa kujilikana tu kama mtu anayo,je unafikiri ikifikia hali ya kwamba hata mtu akifa iwe kawaida tu kusema alikufa kwa ukimwi huoni ndio itakuwa hali mbaya zaidi?Yaan ni kitu cha ajabu sana, mtu akiumwa malaria,sukari,cancer anasema kirahisi tu na watu hawashangai ila ukimwi mgonjwa mwenyewe hataki watu wajue, ifike mahali tuwe wazi nahisi ni njia pekee ya kudhibit huu ugonjwa
wengine hatuna milango ya UKIMWI kupita ko tunakula vyombo kama kawaEndelea kupiga kavu matokeo yapo mkononi!
Mkuu ni ya Saba au Sita
Amri ya sita
Chanzo ni nini?Kwani amri ya usiue ina maneno mangapi ..
By the way ukimwi hauuwi kinachoua Ni magonjwa nyemelezi.