Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
HahahahahaMimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Aanze kula mbaazi mapema hasisubiri mpaka "KANDA" aka TAPE aka CD4 zianze kushuka.Janjaroo sijui ana hali gani kwa lile goma alilokua amelioa.
Hawa wasanii wasiojielewa wengi wana "DRUM" sana,wao kila demu akimshobokea yeye anapiga tu.Kwa hiyo yule dogo Mbosso naye tayari kashaingizwa kwenye +grid ya dunia?
HIV is real wandugu, mbaya zaidi wana ndoa wapo kwenye high risk ya maambukizi. Wewe ukiwa mwaminifu unahakikishaje kuwa mwenza wako ni mwaminifu pia? May God forbid.
Hatari sana mkuu NI KAZEZE NI KAZEZE.Ohoooo!!!
Mkuu kutaja ma celeb na mastar ndio kunasaidia kuelimisha wengine kwani wao walikuwa kama mfano,kwa hiyo kutangaza au kutaja majina sio kukosea waliotangulia mbele za haki,hakuna sheria inayosema tusiwataje marehemu kwa maradhi yaliyowapeleka kaburini,sote tunapita ta hapa duniani lakini lazima pia tuelimishane kwa ajili ya faida ya vijana wanaokuja nyuma yetu,ndio maana hata kwa walioendelea hawa ma celeb hujitaja au hutajwa kuwa ana grid ya taifa ,si dhambi na tukizingatia kuwa ugonjwa huu phuchangiwa sanana mambo ya ngono ingawa kwa kiasi kidogo inaweza ikawa kupewa damu isiyo salama.Sawa, ila unaweza kujenga hoja bila kutaja waliotangulia mbele ya haki.
Tuwe na staha hasa kwenye kunyooshea wenzetu vidole wakati nasi tuna makandokando yetu.
mbaazi mapema
KANDA
😂 😂 😂 😂TAPE
Waswahili wanasema "likuepukalo lina heri na wewe"
Huyo Kijana pili pili alinyimwa mzigo na nani?
Huyo mpuuzi tuNa yeye ni supastaa mwanasiasa kijana anao!
Amri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi
Ipoje hio sindano mkuu? Ni kubwa sana au embu tupe habari yake..kidogoHakuna wakati mgumu kwa mgonjwa wa ukimwi kama wakati wa kudungwa ile sindano ya damu ya viral load, huwa nawaonea huruma sana.
Vijana jitahidini mjilinde acheni ngono zembe ukimwi Upo na unatisha kuliko unavyofahamu.
Nilipima almost 4 tyms mala 2 sehem tofaut siwez kupima tna hasa hvo vipimo vyenu vya kisasa mnaita nin sijui..........sio vya kuamin .....Nenda kahakiki tena mara ya tatu..