UKIMWI umeua wengi jamani

Walaaiiiii dhaaaa kwakweli yatupasa tubadilike eeeh mwenyez mungu tusaidie
 
Ukimwi unaishi akilini mwako, msijistress bure maana ukishaingiza stress maishanui tayari umejiua kiulaini,
Hivi unafahamu kuwa ukipiga sindano ya tetenas halafu ukaenda kupima siku za karibuni kipimo kitaonesha una ngoma?
 
kwanza kabisa kabla ya kuogopa kufa kwa ukimwi jiulize kifo ni nini??? people fear what they don't understand!!!!!! kwani wote wanaokufa wanakufa kwa ukimwi tu??? kuna wanajeshi kama sisi tunakufa kwa mabomu kila leo mashariki ya kati, ajali za magari, kipindupindu ndio hata dakika 30 mtu hamalizi, malaria ndio usiseme. THINK BIG.......
 
MKOJO WAKO MWENYEWE HASA WA ASUBUHI NI DAWA NZURI SANA YA KUPUNGUZA MAKALI YA UKIMWI. HUTAHITAJI TENA ARVS. SIJAANDIKA KWA KUBAHATISHA IKO RESEARCHED KUTOKA KWA NDUGU YANGU WA KARIBU SANA AMBAYE HII TIBA MBADALA IMEMSAIDIA. SEARCH ONLINE UTAONA TAFITI ZA KIMATAIFA ZINAZOTHIBITISHA HILI. SIO UKIMWI TU BALI PUMU, MAJERAHA, CANCER (NOT VERY SURE), FUNGUS ZA CHINI NA MDOMONI, N.K N.K.
SWALI NI KWANINI TUNAAMBIWA MKOJO NI UCHAFU HAUFAI KWA LOLOTE: WATENGENEZA MADAWA HAWAFAIDIKI CHOCHOTE NA TIBA HII SO KUITANGAZA KUTAWAPUNGUZIA SOKO LA MADAWA YAO.
VIPO VITABU VIMEANDIKWA KUHUSU UFANISI WA TIBA HII NA CASE STUDIES ZA WALIOPONA.
USIDHARAU KWAKUWA MKOJO NI WAKO JARIBU THEN UTATHIBITISHA.
 
HIV is a much less infectious virus than many other sexually transmitted infections. The risk for becoming infected varies depending on many factors including the type of exposure you have , whether the other person is HIV positive, how high or low their viral load is, the duration and roughness of the sex etc.
 
Napenda wanajeshi
 
Naomba unieleweshe.. Unajua mi nakuheshimu sana?
Yale maneno uliyoandika mpaka akakukot ni ya kijinga sana umeongea as if wewe ni malaika
Uwe unatafakari kitu unaandika ama kuongea mbele ya jamii... Acha unyanyapaa wakati unajamiiana na mtu usiyemfahamu ana fanya nn behind your back. U care mwenzio je?! NINYI ndo mnaishiaga kujinyonga......
 
What is done cannot be undone.... I am a very conservative man. And this is who i am. Hata ndugu nimemuambia kitu kama hicho nlichoandika. Na aliishia kucheka tu.. Watu tunatofautiana kutokana na vitu tunavoamini
 
Tatizo la UKIMWI ni watu wanaoupata hubadilika na kuwa ma ZOMBI. yaani wakishaupata wengi wao wanachojua ni kuusambaza tuu. Hawatumii tena kinga.. Ni UZOMBI TUUU!
 
Watu wengi wanajisahau sana mpaka yanapowakuta.

Wanafunzi wa sekondari ndio wapo ktk hatari kubwa sana kutokana na vishawishi wanavyokutana navyo.
 
Una fikra finyu sana na si ajabu utakufa Kwa ukimwi
Nooo! Your wish will not be granted. This is not how God is working. Unless you are a wizard. Mungu kasema usizini wewe ukazini (umetenda dhambi) halafu unalaumu wanao ogopa huo ugonjwa? ... Halafu chunga ulimi huo mtu dada... I am a free man kwa hiyo navo post ni maoni yangu. Nijibu kwa hoja na sio uchawi wako wa kutabiri vifo akati we sio Mungu. Hiyo dhambi ya kutabiria watu vifo nenda ukatubu kabla haijakurudia.
 
Taratiib bas mkuu, mbona kakiri kuwa ukimwi upo na unaua, sasa unamshambulia na kumlaani kwa maneno makali
 
Unaua sana ni kweli,na hata hizi takwimu zinazotolewa sidhani kama zina uhalisia kulinganisha na idadi halisi ya waathirika.
Upo kweli ila hauui kama ambavyo inazunguzwa na takwimu nyingi ni za kupika tu ili kuwaaminisha watu kama bado ni janga, jaribu kufatilia population ya nchi kuanzia miaka ya 80 mpaka 2012 kama ilipungua au la.
 
HIV/AIDS IS REAL.Kuna watu bado hawaamini hadi uwakumbe au umkumbe mtu wake wa karibu.Huu ugonjwa [emoji119][emoji119]
 
hivi mtu anaweza kutembea na muathirika wa ukimwi kwa kufunga goli moja tu ila na huyo mtu asiupate???
inawezekana ila. kama ana kibamia/ki boo kidogp halafu alimuandaa vizuri huyo mwanamke na kuhakikisha kalowa kabisa halafualikua hana vidonda an damu yoyote ikagusana na kidonda chakr hapo asali sana na aache huo ujinga asubiri miezi mi3 au akapime kwa DNA apunguze presha asije kufa bure.


kkama aliogelea i mean mwenzie ni bwawa uwezekano upo ila asirudie. tenabkama avivyoacha kunyonya kwenye ziwa la mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…