#COVID19 UKIMWI umeua Waafrika kuliko COVID-19; mbona haujalazimishwa kutumia kondomu, mbona viongozi wa dini wanapinga?

Sijawahi sikia wakikataa makanisani.. Lete video kama zinavyokuja za Gwaji boi.. Mbona maneno mengi mtaalam
 
Ukimwi unajulikana njia za kuambukizwa huwezi fananisha na ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya hewa.
 
Hujafanya utafiti wa kutosha.
Kuna hoteli moja maeneeo ya Capri point Mwanza huwa wanalazimisha kutumia kondom hata Kama umekwenda na mke wako kuvaa kondom Ni lazima.
 
Kwa andiko lako wewe ni mtu wa "Nguin". ebu tafakari haya......
1. Mode of transmission of Ukimwi na corona ni tofauti sana. Ugonjwa wowote ambao ni air transmitted ni hatari kuliko ule wa skin/body fluid contact, etc tena privately contact between 2 people .....
2. management of Ukimwi is simple compared to Covid
3. Covid 19 is associated with high mortality rate compared to HIV in a aspecified time interval from infection
4. Infectivity is easy with covid compared to HIV
 
Sijawahi sikia wakikataa makanisani.. Lete video kama zinavyokuja za Gwaji boi.. Mbona maneno mengi mtaalam
Una umri gani? MAkanisa yamekuwa ni kitovu cha elimu mbovu! Kama umemaliza shule hivi karibuni, jaribu kusoma evolution ya HIV na matumizi ya kondomu. Utayaona boss. Kama ni graduate wa siku hizi sioni ajabu maana utakutana na Anglican wakiruhusu ushoga.
 
Offtrack! Zero score! Tatizo la Gwajima ni mode of transmission? Kinachojadiliwa ni viongozi wa dini kupinga maagizo ya serikali. Siyo mara ya kwanza. Walishapinga hata chanjo ya Polio kwa wasichana.
Serikali inasema tumia kondomu wao wanasema ni immoral
Serikali inasema nenda uchanjwe wao wanasema acha ni hatari

It needs wasting no time to elaborate airborne and whatever to a logical person.
 
Kumbe hata ulichoandika hukikumbuki
 
Je ukimwi ukisogeleana na mtu karibu unamuambukiza, Ukipiga chafya mbele yake anapata? Wazee ambao hata tendo la ndoa hawashiriki wanapata?
Asante maana mleta hoja nimemjibu aka respond as if he is not the one who posted the stuff! robinson crusoe na huyyu alivyojibu kama mimi....... mode of transmission ya corona ni more catastrophic if left unchecked compared to HIV ndiyo maana watu hawalazimishwi kuvaa condom.. sijui kama utaelewa.... kwaheri
 
Chanjo ya UKIMWI wameanza majaribio leo
 
Gwajima hana kosa lolote (kisheria)japo anapotosha. Huyo waziri aliyeamrisha akamatwe nadhani wengi mnamjua ni nusu kichaa. Kosa la Gwajima liko within his political party. Chama anachokiwakilisha ndiyo kinatakiwa kimwajibishe kwa kwenda kinyume na matakwa yake. Kwangu mimi kinachotakiwa kufanywa na chama chake ni kumpa options mbili: ama aachie ngazi kwenye ubunge abaki mwanachama wa kawaida, au aachie ngazi kwenye uongozi wa kiroho na abaki kama muumini wa kawaida. Hii ni kwa sababu kuna mgongano wa maslahi anapokuwa na uongozi sehemu zote mbili.
 
Hapa ndiyo naipima akili ya mutu mweusi.

Unaipinga chanjo ya covid-19, je ya ukimwi pia utaipinga?
 
Kuhusu kusambaa ni kweli kabisa. Na hili hasa ndilo limeiweka dunia kwenye wanguwangu.
 
Mkuu wewe una umri mkubwa, graduate--- Lete video nione. Mbona unarefusha mjadala wakati ni mfupi tu? Nataka nione context ya kwanini hao wanaokataza condoms hawakuagizwa wakamatwe, isipokuwa kwa Gwajima pekee, ewe graduate---
Unazungumzia evolution ya HIV back in the days---Unasahau kama dini nayo imeevolve.. Ndiyo maana nimekwambia hapo juu, facilities zote za afya ninazozifahamu zilizoko chini ya kanisa katoliki zinatoa condoms
 
Ukimwi umeua watu wangapi kwa muda gani na kovid imepita na watu wangapi kwa muda gani? Pili ukimwi ukiamua kuuepuka ni rahisi je kovid?
 
Plus wanabugua mbolea balaa kuongeza siku za kuishi bila kusema lolote
 
Ukimwi umeua watu wangapi kwa muda gani na kovid imepita na watu wangapi kwa muda gani? Pili ukimwi ukiamua kuuepuka ni rahisi je kovid?
Kwani mtandao unaotumia kuandika haya ukitafuta takwimu za UKIMWI hutapata? Kwa nini unauliza? Ongeza Malaria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…