UKIMWI kwisha habari yake!

UKIMWI kwisha habari yake!

Haya mambo bwanaaa kuna jamaa nilimshuhudia kavimba tumbo kakondeana analia tuuu tumbo tumbo anahangaika vibaya mno alikuwa na HIV hadi alikufa
Ngoma ni balaa, ukiepuka ni kumshukuru Mola kwakweli!japo watu tunajisahaulisha tukishazika wenzetu.
 
Hii habari itafanya watu waanze zinaa rasmi. Ila biashara nyingi zitasimama. biashara ya kondomu, biashara ya matangazo na semina za malipo kuhusu utoaji elimu kuhusu maambukizi ya UKIMWI. Biashara ya ARVs.
Tunasubiri mumwambieni jiwe awadhamini matangazo ya fyatua fyatuu mpango wa uzinzi
 
Kwa kifupi Waisrael wamevumbua dawa ya ukimwi ambayo ufanisi wake ni 99%! Matibabu ya dawa hii kwa maelezo yao hayana athari katika cells zingine kama ambavyo dawa ya kufubaza virus vya ukimwi inavyofanya!
Hyo 1% iliyobaki inatosha kbsa kwa hyo mdudu kuendelea kufanya uharibifu
 
By ANGELA OKETCH
Results of the first human clinical trial of the HIV drug, Gammora, have shown that it can eliminate up to 99 per cent of the virus within four weeks of treatment.
The results released Sunday show that Gammora significantly reduced the viral load in human subjects by killing infected cells without harming healthy ones, unlike antiretroviral drugs which suppress the spreading of the virus.

APOPTOSIS
The study was done by researchers from Zion Medical, an Israeli biotech company, and the Hebrew University of Jerusalem.
“The drug triggers the self-destruction of the infected cell called apoptosis. It has the potential to cure HIV-infected patients by destroying all cells carrying the HIV genome.

RANDOMLY
“These first clinical results were beyond our expectations and promise hope in finding a cure for the disease,” Dr Esmira Naftali, head of development at Zion Medical, said, adding that nine patients at Ronald Bata Memorial Hospital in Uganda were randomly assigned to receive different doses of the drug for four to five weeks.
In the second part of the trial done two weeks later, patients were given the drug with additional retroviral treatment after four to five weeks.

VIRAL LOAD
Patients received either lopinavir 800 mg and ritonavir 200 mg (LPV+r) daily in combination with Gammora administered twice a week, or LPV+r only.
The results showed that the combined treatments eliminated up to 99 per cent of the viral load within four weeks without exhibiting any side effects.
During the 10-week study, patients in both groups showed a significant increase in T-cell count — another name for CD4 cells, which play a role in the body’s immune system.

DOSAGE
“Given the limited nature of this study, we are excited to prove the efficiency of our drug in phase 2b with a greater number of participants over a longer period of time,” Dr Naftali said.
Prof Abraham Loyter of the Hebrew University of Jerusalem started the study a decade ago. Phase Two is expected to begin in the coming months, expanding the pool of subjects to 50 and the dosage period to three months.

ENZYME
The drug is derived from HIV enzyme integrate that is responsible for inserting the virus’s genetic material into the DNA of the infected cell.
There are indications that 1,493,382 Kenyans live with the virus, with the overall prevalence rate dropping to 4.8 per cent.

PROPHYLAXIS
The prevalence among women is 5.2 per cent and 4.5 per cent in men. More than 53,291 Kenyans are receiving pre-exposure prophylaxis.
The government intends to raise the number to half a million people by 2022.

gammora ni dawa toka israel kampuni ya zion
 
But mind, viruses are capable of changing their genetic code and that is where the problem lies!

Izo ni complication ambazo wazungu wanazoleta ili kukuchanganya ukate tamaa kwamba kutibika isiwezekane..
 
Kama hiyo daw itafanikiw mi nitakuwa wa kwanzs
a kununua malaya wote wa Sudani.Hapo ni stori za kuwafariji wenye ngoma.Ikianza kufanya kazi unitag! Maranyingi wanazipromoti tu ndani ya maabara ila sio nje ya baabara.


Kwa hiyo watu wasijipe moyo?
 
Mkuu mbona maleria ina dawa lakn watu wanaendelea kupiga dili? Acha dawa ipatikane watu turudi kwenye nyama kwa nyama. Kitu natural


Sasa Maleria si ni plasmodium wakati AIDs ni Virus Mkuu
 
HAKUJAWAHI KUWEPO ,HAKUNA NA HAKUTAKUWEPO KITU KINACHOITWA H.I.V. ukimwi upo na unasababishwa na mambo mengi sana ila H.I.V is just an imaginary virus na havijawahi kuexist
Mkuu nimekuelewa sana, hapa wazungu wanacheza na akili za mwafrika, kwa uelewa wangu mdogo mwafrika akija kujitambua tu, mzungu atakuja na mbinu nyingine ya kupatikana kwa dawa na huenda ikauzwa kwa bei kubwa sana ili watu washindwe kuinunua.

Hapo serikali za waafrika zitaenda kuwapigia magoti tena na kuanza kuingia maelewano namna ya upatikanaji wa dawa hizo kwa bei ndogo ikiwa lengo Lao ni kuendelea kuinyonya afrika, muda utaongea.
 
Bado wapo kwenye trial, sasa wewe kajiachie na michepuko yako uunase. Amin amin nakwambia, utaisubiri dawa kama mwizi anayepokea kichapo cha raia anavyoisubiria defender ya polisi imuokoe.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kwanini usiende kwa Ras Simba? Au na wewe umeishi kila nchi ila hutaki tu kuongea hicho "kikristo"?


"Wengine wanajifanya kuongea kingereza tena cha kuslan lakini hata uingereza hawapajui, mimi napajua na dunia nzima nimezunguka" JPM
 
Kuna kabinti hapa kwa jirani ni karembo kwakweli aiseee ila tatizo kuna fununu zinazokahusu kalizaliwa na ngwengwe.. Tafadhari serikali channgamkeni kuuleta dawa hiyo nikakachangamkie fursa. 😙😮😮😮
 
MSIJIDANGANYE...binafsi hizi story za kupatikana dawa zimeanza miaka mingi nyuma, lakini still zijaona movement zozote zile kuhusiana na hili gonjwa.. Kama ingekua ni kweli WHO wangekua wameshathibithisha. Vyombo vya habari vikubwa vingekua vimeshatangaza, kwa uelewa wangu mdogo huu, ni vyema kujiepusha na zinaa, na kutumia condom , dawa mtasubiri saana maana huu no mradi umeajili mamilioni ya watu


Acheni zinaa mrudieni bwana mungu.
 
Back
Top Bottom