Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,650
Nilikuwa sijajua hiyo,ngoja nifuatilieKiswahili kilikuwepo hata kabla ya ujio wa Waarabu. Hizo nyingine ni nadharia tu.
Nilikuwa sijajua hiyo,ngoja nifuatilieKiswahili kilikuwepo hata kabla ya ujio wa Waarabu. Hizo nyingine ni nadharia tu.
Waisrael wana dini gani?Waislamu hawana chuki na Waisraeli ila wanachuki na Wayahudi sijui unaelewa!.
Ni kuwa kuna Waisraeli Waislamu kabisa tena masheikh ila hakuna Wayahudi Waislamu, hivyo basi kuna Wayahudi na Waisraeli, pia kuna uyahudi na Uislamu.
Hahaa how hii imenishangaza sana ?like seriously unaweza kunasa sehemu isipatikane kirahisi hadi uunge nayo miselee??Soon litakuja gonjwa ukimwi ukasome...ila kama kweli daah afadhal bhana maana mifuko inakera unaweza kunasa mahali ukazunguka nao siku nzima,.

Sasa kwani mimi ndie nilieleta huu uzi au umekurupuka usingizini?Acha upotoshaji dawa ya ukimwi hakuna bado