UKIMWI kwisha habari yake!

UKIMWI kwisha habari yake!

Hii habari itafanya watu waanze zinaa rasmi. Ila biashara nyingi zitasimama. biashara ya kondomu, biashara ya matangazo na semina za malipo kuhusu utoaji elimu kuhusu maambukizi ya UKIMWI. Biashara ya ARVs.
Mkuu mbona maleria ina dawa lakn watu wanaendelea kupiga dili? Acha dawa ipatikane watu turudi kwenye nyama kwa nyama. Kitu natural
 
Kilawakati zinaletwa stori za kumaliza ukimwi lakini ndo kwanza unashika kasi.Najiuliza hivi wakipewa watu wote hiyo dawa kukaw hakuna mgonjwa hata mmoja je kampuni za dawa zitafungw? Familia zao si zitalala njaa! Tusidanganyane ukimwi ni ajira ya watu wakubwa sie tunapelekeshwa tu.Hautatokemezwa mpaka victim wajitafutie dawa wenyewe.
 
Hii habari itafanya watu waanze zinaa rasmi. Ila biashara nyingi zitasimama. biashara ya kondomu, biashara ya matangazo na semina za malipo kuhusu utoaji elimu kuhusu maambukizi ya UKIMWI. Biashara ya ARVs.
Kama hiyo daw itafanikiw mi nitakuwa wa kwanzs
a kununua malaya wote wa Sudani.Hapo ni stori za kuwafariji wenye ngoma.Ikianza kufanya kazi unitag! Maranyingi wanazipromoti tu ndani ya maabara ila sio nje ya baabara.
 
wewe lugha yako ni pi, lugha ya asili? Kiswahili si walileta waarabu au?
Mbona waarabu wenyewe hata hicho kiswahili hawakijui?! Maana wangekuwa wanakijua na wao basi wangekuwa wanakiongea.
 
Siku wafrika tutaeleewaga hawa wazungu wanavyotupelekesha tutakuwa tumechelewa sana. Huo ukimwi wenye umeendeshwa kwa propaganda hadi leo huku siri wakiishikilia wao. Nyie kimbilien madawa badala ya life stly mdhani ndo kuish kwingi.
 
Na zikianza kusambazwa wagawe bure kama dawa za Kipindupindu!
 
Hii Habari si ya kweli. Tusipeane matumaini ya uongo. Hao waisrael wanataka kupiga pesa tu.Huwezi kuwa na taarifa muhimu kama hii halafu ulimwengu wa Sayansi usiandike kwenye journals halafu vyombo vikubwa kama CNN, CBS, CNBC, BBC, SKY NEWS, REUTERS, AL JAZEERA visiandie chochote. Moderator ili kuwasaidia Watanzania wasipotee, naomba pandisha haya majibu hapo juu.

http://www.aidsmap.com/page/3363143/
 
Itachukua mda kufika Bongo kama kuna namna wakubwa wananufaika na uwepo wa Ngwengwe, ila hizi story zinaishiaga hivi hivi in most cases, labda WHO waipitishe!
 
The study was done by researchers from Zion Medical, an Israeli biotech company, and the Hebrew University of Jerusalem.
 
Back
Top Bottom