dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,597
- 60,826
khabari iliyo njema kwa wazinzi wote
chaputa hii haiwahusu
chaputa hii haiwahusu
Weka kwa kiswahili, sisi ni wazalendo
wanawaita ; utawala dhalimu wa mazayuni: lakini kwenye sula la kifo hayo huwa yanasahaulika. Mtu akisikia sehemu yoyote ya kuokoa maisha yake dini huwa anaweka pembeni ndio maana wakristo hujazana kwa mashehe kwenda kuagaliwa majini, ndio maana waislam huenda makanisa ya kilokole kwenda kuchukua maji ya upako, ndio maana babu wa loliondo walienda watu wa dini mablimbali , elimu mbali mbali na mataifa mbalimbali ili wapate kuponaWa-Iran wa uajemi na tandale hawatakunywa hizo dawa za makafiri.
Ni ugunduzi muhimu sana katika kukabiliana na hilo janga kama ni kweli.
Hakuna MZUNGU atakayekuletea dawa ya Ukimwi wewe MTU MWEUSI.WEWE NDIO KITEGA UCHUMI CHAKE. una dhani condom atamuuzia nani hayo ma ARV we unataka wafunge viwanda vyao watu wao wakose ajira?? Kama ambavyo Ukimwi ulitengenezwa. Dawa ipo kitambo ndio maana wao kwao hawana stress nao sana huo ugonjwa kuliko sisi....Wao wanahangaika na Dawa ya KANSA TU.Hii habari itafanya watu waanze zinaa rasmi. Ila biashara nyingi zitasimama. biashara ya kondomu, biashara ya matangazo na semina za malipo kuhusu utoaji elimu kuhusu maambukizi ya UKIMWI. Biashara ya ARVs.
Hakuna MZUNGU atakayekuletea dawa ya Ukimwi wewe MTU MWEUSI.WEWE NDIO KITEGA UCHUMI CHAKE. una dhani condom atamuuzia nani hayo ma ARV we unataka wafunge viwanda vyao watu wao wakose ajira?? Kama ambavyo Ukimwi ulitengenezwa. Dawa ipo kitambo ndio maana wao kwao hawana stress nao sana huo ugonjwa kuliko sisi....Wao wanahangaika na Dawa ya KANSA TU.
Waambieni tu wazee wamiti shamba nao wakaze buti wavumbue dawa yetu. Ingawa najua watakuua kabla hata hujafaidika na hiyo dawa.
Kama wanatuletea tekinolojia mbali mbali na za kisasa kwa nini wasituletee hiyo dawa? Kwani kuuza dawa si biashara pia?!Hakuna MZUNGU atakayekuletea dawa ya Ukimwi wewe MTU MWEUSI.WEWE NDIO KITEGA UCHUMI CHAKE. una dhani condom atamuuzia nani hayo ma ARV we unataka wafunge viwanda vyao watu wao wakose ajira?? Kama ambavyo Ukimwi ulitengenezwa. Dawa ipo kitambo ndio maana wao kwao hawana stress nao sana huo ugonjwa kuliko sisi....Wao wanahangaika na Dawa ya KANSA TU.
Waambieni tu wazee wamiti shamba nao wakaze buti wavumbue dawa yetu. Ingawa najua watakuua kabla hata hujafaidika na hiyo dawa.
Je wewe hufanyi ?Wazinzi watafanya karamu usiku kucha
Dawa ni FAIDA sana kwao NA HUU UGONJWA NI MOJA YA SILAHA KUBWA SANA YA KUTUKONTROLL TUSIONGEZEKE TUKAWAZIDI.Kama wanatuletea tekinolojia mbali mbali na za kisasa kwa nini wasituletee hiyo dawa? Kwani kuuza dawa si biashara pia?!
Umeona eeeh!! HAWAWEZI kuruhusu kamwe. Ukijifanya mbishi unakula kelbu koja safi matata tunakuimbia Rip.Egyptians waliipata miaka 20 iliyopita wakapigwa biti
Dunia hii
Ndo maana nikasema toka au kabla hata HIV kwanza kusambazwa dawa yake ilikuwepo Ila kwafaida flani za nchi flani waliamua kukaa kimya na kuficha. Hizo nchi ulizozitaja wanayo hiyo dawa lakini hawajawai kuitangaza, lakini nimewapongeza Israel kwasababu wemeitangaza introduce kwa ulimwengugoogle faustine fauci..ni miaka nane sasa..uingereza na ufaransa wana gunduzi zao za kumaliza hiv..ila wamekausha tu kwanza wale hela za arv
"Results of the first human clinical trial of the HIV drug, Gammora, have shown that it can eliminate up to 99 per cent of the virus within four weeks of treatment".Uelewa wako ni mdogo sana! Kwa tafsiri rahisi ni kuwa katika watu 100 watakaotibiwa na dawa hii watu 99 watapona!
wakristo wanaenda kwa mashehe kuaguliwa majini??/??wanawaita ; utawala dhalimu wa mazayuni: lakini kwenye sula la kifo hayo huwa yanasahaulika. Mtu akisikia sehemu yoyote ya kuokoa maisha yake dini huwa anaweka pembeni ndio maana wakristo hujazana kwa mashehe kwenda kuagaliwa majini, ndio maana waislam huenda makanisa ya kilokole kwenda kuchukua maji ya upako, ndio maana babu wa loliondo walienda watu wa dini mablimbali , elimu mbali mbali na mataifa mbalimbali ili wapate kupona
hata malaria kuna wengine hawaponi na wanakufa ingawa dawa zipoKama kweli inatibu kikamilifu kwanini wasipone wote??
And vice versawakristo wanaenda kwa mashehe kuaguliwa majini??/??