Hajui mchezo mzima huyo walahiMichepuko utawatambua hapa mapema
Mbaya hapo ni cancer tu, mengine yanatibika!
sio kweli ukiongea kiswahili uarabuni hawataekewa lolotewewe lugha yako ni pi, lugha ya asili? Kiswahili si walileta waarabu au?
uongo mbona mi nimeumwa malaria juzijuzi nimepiga bapa la konyagi tu malaria imesepa siasa mbaya sana kwenye afya za watuMalaria has quite effective drugs but still is one of the leading cause of deaths and hospital admissions!
wewe lugha yako ni pi, lugha ya asili? Kiswahili si walileta waarabu au?
Ugomvi wenu na waisrael sisi hautuhusu.Watengeneze Virus wao
Kisha baada ya kuuwa watu wapuuzi hawa
wanatuletea dawa eti
kisha kuna viatu
Vinawasapoti wauwaji hawa na waharibifu
Ugomvi wenu na waisrael sisi hautuhusu.
hata kilatini hakijaathiriwa na lugha nyingine mkuu ishu hapo ni ukongwe wa lugha ,kiswahili ni lugha ya juzi sana ndio maana imeathiriwa maneno kama shati,chai ,pesa ,meza,bodi,soko na mengine mengi yote tumetohoa kwenye logha kongweAcha hizo! Mbona kiarabu hakijaathiriwa na lugha nyengine yoyote???
HKL si ndo nyumbani kwa lugha mkuu nadhani sisi wa pcm ndio tusubiri commentsHapa tulio soma HKL ngoja tusubiri uzi utafsiriwe lakini kwa haraka haraka nadhani unahusu "Ukimwi Kwisha Habari yake"
HKL si ndo nyumbani kwa lugha mkuu nadhani sisi wa pcm ndio tusubiri comments
nimekupa like mkuuHiv virus, havijawahi kuwepo, hizo ni story za kuendelea kudanganya wapumbavu,
Unashangilia sana mkuu! Teheteheteheeeeheee!Viva! Viva! Viva Israel.
Bila kusahau makonki master.Wazinzi watafanya karamu usiku kucha
Kumbe kiswahili ni kiarabuwewe lugha yako ni pi, lugha ya asili? Kiswahili si walileta waarabu au?


Haya mambo bwanaaa kuna jamaa nilimshuhudia kavimba tumbo kakondeana analia tuuu tumbo tumbo anahangaika vibaya mno alikuwa na HIV hadi alikufaUnashangilia sana mkuu! Teheteheteheeeeheee!