UKIMWI kwisha habari yake!

UKIMWI kwisha habari yake!

Mmnh?!
Labda kwa kuwa Mwislael na Mzungu wanaelewanaga kama itakuwa kweli kinaweza eleweka!
Lakini Matharan mwafrika leo akigundua Dawa hata Kama ikithibitika inaponya Ukimwi bila madhara, basi atasakamwa hiyo Mtu na kuwekewa mikingamo chungu nzima 🏻🏻!
The world is not fair sometimes !
 
Hiyo dawa imegunduliwa Lakin upande Mwingine ili biashara yao iwe nzuri watafanya kila namna kuwabadilisha virus wata change na kuwa hatari kutokusikia dawa
 
Hebu someni na hapo kabla ya kujiachia.
IMG_20181106_224904_123.jpeg
 
Hizi stori ukiwa makini utagundua kila baada ya kipind fulani zinarudishwa alafu ukimga unatawala kama dawa zipo si waletew trials kila siku.
 
Toka mwanzo ukimwi au virusi vya h I v vinatengenezwa, dawa yeke ilikuwepo pia, Ila kulikua na mikakati frani frani iliyopo mpaka sasa tusiyo ijua, niwapongeze Israel kwa kiwango kizito cha majaribu na vikwazo vya kila aina walivyopitia mpaka kufikia hatua hiyo.
google faustine fauci..ni miaka nane sasa..uingereza na ufaransa wana gunduzi zao za kumaliza hiv..ila wamekausha tu kwanza wale hela za arv
 
By ANGELA OKETCH
Results of the first human clinical trial of the HIV drug, Gammora, have shown that it can eliminate up to 99 per cent of the virus within four weeks of treatment.
The results released Sunday show that Gammora significantly reduced the viral load in human subjects by killing infected cells without harming healthy ones, unlike antiretroviral drugs which suppress the spreading of the virus.

APOPTOSIS
The study was done by researchers from Zion Medical, an Israeli biotech company, and the Hebrew University of Jerusalem.
“The drug triggers the self-destruction of the infected cell called apoptosis. It has the potential to cure HIV-infected patients by destroying all cells carrying the HIV genome.

RANDOMLY
“These first clinical results were beyond our expectations and promise hope in finding a cure for the disease,” Dr Esmira Naftali, head of development at Zion Medical, said, adding that nine patients at Ronald Bata Memorial Hospital in Uganda were randomly assigned to receive different doses of the drug for four to five weeks.
In the second part of the trial done two weeks later, patients were given the drug with additional retroviral treatment after four to five weeks.

VIRAL LOAD
Patients received either lopinavir 800 mg and ritonavir 200 mg (LPV+r) daily in combination with Gammora administered twice a week, or LPV+r only.
The results showed that the combined treatments eliminated up to 99 per cent of the viral load within four weeks without exhibiting any side effects.
During the 10-week study, patients in both groups showed a significant increase in T-cell count — another name for CD4 cells, which play a role in the body’s immune system.

DOSAGE
“Given the limited nature of this study, we are excited to prove the efficiency of our drug in phase 2b with a greater number of participants over a longer period of time,” Dr Naftali said.
Prof Abraham Loyter of the Hebrew University of Jerusalem started the study a decade ago. Phase Two is expected to begin in the coming months, expanding the pool of subjects to 50 and the dosage period to three months.

ENZYME
The drug is derived from HIV enzyme integrate that is responsible for inserting the virus’s genetic material into the DNA of the infected cell.
There are indications that 1,493,382 Kenyans live with the virus, with the overall prevalence rate dropping to 4.8 per cent.

PROPHYLAXIS
The prevalence among women is 5.2 per cent and 4.5 per cent in men. More than 53,291 Kenyans are receiving pre-exposure prophylaxis.
The government intends to raise the number to half a million people by 2022.
Good
 
Switzerland Labs nyingi zimegundua HIV cure lakini zimewekwa kwa uangalizi na kuwa monitored zisiachie
Wachache sana hupata dawa hizi kwa kujuana au kupanga mbinu na wenye labs
Halafu niwakumbushe HIV sio kujamiana TU kama wengi humu mnavoropokwa, bali kuna kuchangia zana mbalimbali, damu na kuzaliwa
 
Hii habari itafanya watu waanze zinaa rasmi. Ila biashara nyingi zitasimama. biashara ya kondomu, biashara ya matangazo na semina za malipo kuhusu utoaji elimu kuhusu maambukizi ya UKIMWI. Biashara ya ARVs.
Hapana itakuwa kama kaswende tu japo dawa ipo watu wanaogopa au fikiria mziki wa TB pamoja na uwepo wa dawa lakini ikikubamba unaipata fresh au malaria vipi dawa si zipo mbona hujiachii udungwe mishale na mbu kibwegebwege
 
Back
Top Bottom