UKIMWI kwisha habari yake!

UKIMWI kwisha habari yake!

But mind, viruses are capable of changing their genetic code and that is where the problem lies!
You are retired. stay retired. our doctors can detect the change in genetic code also. Kwendrah kule you always think negatively....
 
Agenda yao kwasasa kwa bara hili

Punguza watu
Hawa majamaa wanazaliana sana
Wao hawana Future kwa kufa kila siku,kisha kukosa vizazi
na Ushoga unaowaandama katika maisha yao

Vijana kwao ni Wachache sana kuliko Wazee
 
Lakini bado haimalizi virusi wote kabisa mwilini kwa asilimia 100 kama dawa zinavyoua vijidudu vya magonjwa mengine (mfano malaria) zinavyomaliza wadudu wote kwa asilimia 100 kwa hiyo ngoma bado mbichi sema tu ni hatua kubwa imepigwa...
 
Chief,wacha uchokozi usiokuwa na tija njema

Kisha
mchokozi unaemjua na kummudu
lkn usiemjua...Kaa nae mbali sana

Halafu Chief
Misikiti na Waislam pamoja na Uislam havina ugomvi na Dawa,ikiwa ni Dawa kweli,na inamanufaa na Walimwengu wote

Tunapenda sana amani itawale Chief

BARIKIWA SANA BRO
Hujaelewa.

Hawawakubali waisraeli.

Hapo nawachokoza tu.
 
Wazinzi watafanya karamu usiku kucha
Hizi story za dawa (tiba) ya ukimwi kupatikana zimekuwa zikijirudia rudia sehemu moja hadi nyingine but still there is no "Cure" what does this means? Mere endeavor with no significant output,all of no avail!
 
Lakini badowatumalizi virusi wote kabisa mwilini kwa asilimia 100 kama dawa zinavyoua vijidudu vya magonjwa mengine (mfano malaria) zinavyomaliza wadudu wote kwa asilimia 100 kwa hiyo ngoma bado mbichi sema tu ni hatua kubwa imepigwa...
Uelewa wako ni mdogo sana! Kwa tafsiri rahisi ni kuwa katika watu 100 watakaotibiwa na dawa hii watu 99 watapona!
 
Malaria has quite effective drugs but still is one of the leading cause of deaths and hospital admissions!
Unlike malaria Hiv is a man to man transmitted virus,which means if the one has no virus then there'll be no transmission to others!
 
Toka mwanzo ukimwi au virusi vya h I v vinatengenezwa, dawa yeke ilikuwepo pia, Ila kulikua na mikakati frani frani iliyopo mpaka sasa tusiyo ijua, niwapongeze Israel kwa kiwango kizito cha majaribu na vikwazo vya kila aina walivyopitia mpaka kufikia hatua hiyo.
 
Toka mwanzo ukimwi au virusi vya h I v vinatengenezwa, dawa yeke ilikuwepo pia, Ila kulikua na mikakati frani frani iliyopo mpaka sasa tusiyo ijua, niwapongeze Israel kwa kiwango kizito cha majaribu na vikwazo vya kila aina walivyopitia mpaka kufikia hatua hiyo.

Hivi kwa nini kwenye l mnaweka r? Shule ndogo au?
 
Back
Top Bottom