Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,582
- 28,737
May Allah bless Israel....
Mbona nimesoma kichwa cha habari nikaona kimeandikwa kiswahili?? Usiogope tena mkuu sasa hatutatumia tena ndomu. Dawa tiyari hayo maneno mengine ni bla bla tu. Dawa tiyari ila sisi tunaongojea misaada mbona kazi?? Tutaendelea kujifia tuu na mkuu kwisha sena, yeye si mama yetu hivyo tusimlilie njaa.
Wazinzi watafanya karamu usiku kucha
Asante sana mkuu teteteeeeh, umeibadilisha siku kuwa ya furaha sana,… nimecheka mbayaaaa [emoji16][emoji16]Weka kwa kiswahili, sisi ni wazalendo
Asante sana mkuu teteteeeeh, umeibadilisha siku kuwa ya furaha sana,… nimecheka mbayaaaa [emoji16][emoji16]
Chips zimeanza kukupa kiburi?Leo ni siku yangu ya kupita pale sinza na kuopoa chombo kimoja matata nikapige kavu kavu
Hahahahahaaa,Mkuu awamu hii Uzalendo kwanza. Hotuba za Jpm zinanitoaga stress kichizi.
Hahahahahaaa,
Aaah mkuuChips zimeanza kukupa kiburi?
Mkuu tenda ya sanduku utanipa Mimi,nipe vipimo mapema,kuna punguzo maalumLeo ni siku yangu ya kupita pale sinza na kuopoa chombo kimoja matata nikapige kavu kavu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16] yaelekea kile kiosk cha tatu ushakifungua sasa umeamua kushusha pumzi kwa totozAaah mkuu
Dawa ya ukimwi imeshapatikanaMkuu tenda ya sanduku utanipa Mimi,nipe vipimo mapema,kuna punguzo maalum
Siku moja moja siyo mbaya mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16] yaelekea kile kiosk cha tatu ushakifungua sasa umeamua kushusha pumzi kwa totoz
Nakumbuka kikombe cha loliondo kilivyosepa na wapendwa wetuLeo ni siku yangu ya kupita pale sinza na kuopoa chombo kimoja matata nikapige kavu kavu
Kwani gonjwa la zinaa ni ukimwi tu??Leo ni siku yangu ya kupita pale sinza na kuopoa chombo kimoja matata nikapige kavu kavu