fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,896
- 6,072
wapi wamesema ukimwi hakuna,acha kukurupuka mkuuMsidangayike, subirini taarifa rasmi. Ukimwi upo.
wapi wamesema ukimwi hakuna,acha kukurupuka mkuuMsidangayike, subirini taarifa rasmi. Ukimwi upo.
😂😂Weka kwa kiswahili, sisi ni wazalendo
Shingapi bei yake? Ila Serikali watasubsidize ila watatokea jamaa watatengeneza feki yake itakua hatari sanaImenibidi kuzama google kwanza nione hii Gammora drug. nkakuta ugunduzi umetangazwa kama siku 6 nyuma ivi
shida hii kitu kufika kwetu tunaweza kuwa tusha kata moto maana gharama yake ni kubwa mno
Kwani vina uhusiano gani kama vyote vitakuwa vinatibika? Kwani AIDS ni ugonjwa pekee unaosababishwa na virus? Mafua pia yanaletwa na virusSasa Maleria si ni plasmodium wakati AIDs ni Virus Mkuu
Kwani vina uhusiano gani kama vyote vitakuwa vinatibika? Kwani AIDS ni ugonjwa pekee unaosababishwa na virus? Mafua pia yanaletwa na virus
Gharama yake bila shaka itakuwa kubwaHii habari itafanya watu waanze zinaa rasmi. Ila biashara nyingi zitasimama. biashara ya kondomu, biashara ya matangazo na semina za malipo kuhusu utoaji elimu kuhusu maambukizi ya UKIMWI. Biashara ya ARVs.
..ni yale yale ya ARVs tuUnaposema “it can eliminate up to 99% “ that means bdo unakuwa na 1% of the virus in the body sasa hyo ni treatment au ndo kupunguza makali
Kipindupindu ni complicated kuliko mafua japo hakisababishwi na virusSina uelewa mpana na ishu za afya. Ila kwa elimu ndogo niliyokuwa nayo Magonjwa yanayosababishwa na Virus ni complicated sana
Acheni kudanganyana mkuu..hizi tabia za kiafrica kuzaliana sio za kujsifia unakuta mtu anawatoto sita anaanza kuomba msaada kwa serikali imsaidie nahuku kazaa mwenyewe ..zaa watoto ambao utawamudu utawasomesha shule bora,utawalea kwa ubora sio unasaka idadi tu bila quantity ...in short wazungu wengi wanaona kuwa na watoto wengi sio issue hio in akili za kiafrica tu kuzaliana hovyo coz sisi waafrica ndotunachokiweza hicho tu ngono tuuu kazi hatuweziiAgenda yao kwasasa kwa bara hili
Punguza watu
Hawa majamaa wanazaliana sana
Wao hawana Future kwa kufa kila siku,kisha kukosa vizazi
na Ushoga unaowaandama katika maisha yao
Vijana kwao ni Wachache sana kuliko Wazee
This is a big problem now, even with bacteria or plasmodium parasites such as the one causing Malaria.But mind, viruses are capable of changing their genetic code and that is where the problem lies!
Soma vizuri hapo kwenye ufanisi.bado unabaki na percent moja mwiliniKwa kifupi Waisrael wamevumbua dawa ya ukimwi ambayo ufanisi wake ni 99%! Matibabu ya dawa hii kwa maelezo yao hayana athari katika cells zingine kama ambavyo dawa ya kufubaza virus vya ukimwi inavyofanya!
Uongo tu hizo siasa za Kitabibu,ukimwi haujapata dawa Hadi Leo.Kwa kifupi Waisrael wamevumbua dawa ya ukimwi ambayo ufanisi wake ni 99%! Matibabu ya dawa hii kwa maelezo yao hayana athari katika cells zingine kama ambavyo dawa ya kufubaza virus vya ukimwi inavyofanya!