Ukimuona huyu jamaa unakumbuka nini

Ukimuona huyu jamaa unakumbuka nini

ha! ha! ilikuwa ikifika sehemu ya kuimba nyimbo mkusanyaji hela alikuwa anapeleka mbele mixer watu kufoka weweeeee! acha hapo hapo nasi pia tulikuwa tunalipa tsh 25 hadi 30 , hii ilikuwa somewhere in Tz.Aisee maisha hayajirudii babake siku izi watoto wanakuwa ndani ya fence full electricity fance,full cctv camera , security guard na masausage ma pizza na mabaga , watajua wapi haya makitu ,wengine wanakwambia anauza genge sijui wapi!
Wana IPad hao wa kisasa, hatuwawezi jamaa yangu. Miaka mitano tu balaa, mwanangu ananiumiza kichwa nitamleaje wakati huko nje kuna walezi wengine na dunia mpya kabisa ambayo mimi siijui kabisa
 
12985580_1034008026664464_5629267708550671177_n.jpg

Almaarufu kama Puri

Mkuu je huyu ndiyo muanzilishi wa neno kupiga PURI ( punyeto? ). Je ndiyo yeye labda alikuwa pioneer wa upigani nyeto duniani? Neno puri kwa Wanaume wa Kitanzania unamaanisha " kujichua ".
 
Huyo Amrish Poor ...ndie alikuwa kubwa la maadui movie zote za kihindi
ndo chanzo cha hilo jina la 'kubwa la maadui'
those were the days
In those days burudani ilikua muziki wa kikongo na muvi za kihindi, life ilikua tamu sana.

In those days kitu pekee cha kuogopa kilikua stick za shule tu, nothing else
 
Mkuu je huyu ndiyo muanzilishi wa neno kupiga PURI ( punyeto? ). Je ndiyo yeye labda alikuwa pioneer wa upigani nyeto duniani? Neno puri kwa Wanaume wa Kitanzania unamaanisha " kujichua ".
Ha ha ha hapana mkuu.
Hilo neno si la zamani sana ni la juzi kati tu na limetungwa na kizazi hiki cha miaka ya 90, huyu jamaa alikuwepo na jina lake hili toka miaka hiyo ya 80.

Maisha yalikuwa matamu sana aisee, hakuna whatsapp wala Facebook wala twitter sijui nini nini huko.

Enzi hizo mtu akinunua TV unasikia jamaa kanunua ITV, teh teh teh
 
Ila kwenye muvi za kihindi sidhani kama kuna mtu kaweza kufikia level za huyu jamaa kwenye kuigiza kama kubwa la maadui.
Hili jamaa kweli lilikuwa linajua haswaaa
 
Jamaa alikuwa anajua na ulikuwa ukiangalia filamu zake ni kama maisha halisi..ukweli radha imepotea sana maana jamaa alishapoteza maisha mwaka 2005 na hauwezi kutaja maendeleo filamu katika nchi yao pasipo kumtaja jamaa..
 
Kumbe jamaa hayupo duniani....!!
 
12985580_1034008026664464_5629267708550671177_n.jpg

Almaarufu kama Puri
Muvi za kihindi zilikuwa zinatafsiriwa na Rufufu yaani ni full kutupiga fix, ikifika wakati wa nachi anaweka wimbo wa Defao au Pepekale, Maisha yalikuwa matamu sana.
computer yangu haion hii pix
 
Ha ha ha hapana mkuu.
Hilo neno si la zamani sana ni la juzi kati tu na limetungwa na kizazi hiki cha miaka ya 90, huyu jamaa alikuwepo na jina lake hili toka miaka hiyo ya 80.

Maisha yalikuwa matamu sana aisee, hakuna whatsapp wala Facebook wala twitter sijui nini nini huko.

Enzi hizo mtu akinunua TV unasikia jamaa kanunua ITV, teh teh teh
Kanunua DTV wewe. Mimi nilikuwa namchapa mwanangu kwa kupanda kwenye madirisha ya jirani kuangalia picha za kihindi kwenye DTV. Early 90s.
 
Ila kwenye muvi za kihindi sidhani kama kuna mtu kaweza kufikia level za huyu jamaa kwenye kuigiza kama kubwa la maadui.

Amjad khana nae pia alikuwa anajitahidi sana, lakini huyo Amrish poor, aka Ashanti alikuwa kiboko
 
Nakumbuka insah niliyoitunga kidatu cha nne kuhusu waigizaji
 
12985580_1034008026664464_5629267708550671177_n.jpg

Almaarufu kama Puri
Muvi za kihindi zilikuwa zinatafsiriwa na Rufufu yaani ni full kutupiga fix, ikifika wakati wa nachi anaweka wimbo wa Defao au Pepekale, Maisha yalikuwa matamu sana.
Dah yule Bwana kwa fix alikua mzuri sana
 
Back
Top Bottom